Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

Ndiyo katiba ya nchi ? au ndo uelewa ulipoishia
 
Siku zinavozidi kwenda ndio mambo yanazidi kutambulika.

Natabiri 2025 kuwa na mabadiliko makubwa kwa njia ambazo leo zimekuwa mwiba kwao chama tawala.

Serikali nyingi zimeshikilia vyombo vya dola kama fimbo yao au kinga yao.

Vyama vya siasa pinzani naomba kuangalia hili ambalo limeibuka kwa maishaidi ambao ni askari kushindwa kujua PGO yao.

Inaonyesha kwamba tukikazanja watu kujua PGO na watambue hata kuwapa elimu basi katiba itakuwa rahisi.

Maana wenyewe hawafahamu katiba yao ndani ya jeshi aka PGO.

Tuungane sasa kujadili PGO kwanza baada ya Katiba.

Maana zuio la katiba ni polisi kukosa muongozo wa PGO
 
PGO ndiyo dubwasha gani?
Nasikia linawatoa Makamasi watu wazito.
 
hakuna jeshi ambalo linaweza kufuata huo muongozo hata marekani hawawezi kuufuata mtapigwa tu na mtakamatwa kama kuku tu magaidi nyie
 
hakuna jeshi ambalo linaweza kufuata huo muongozo hata marekani hawawezi kuufuata mtapigwa tu na mtakamatwa kama kuku tu magaidi nyie

Tuambie kwanza kirefu cha PGO mambo ya Marekani yanatuhusu nini sisi wabongo?? Na kuanzia sasa mkija mahakamani swali la kwanza ni je unaijua PGO???
 
sasaa wewe endelea kusubiri uje usikie polisi anakuja kukupakapaka mafuta kaja kukukamata ni mwendo wa virungu tu magaidi kama nyie mapak mjinyee
Ndiyo maana nchi za watu wanaojielewa hakuna upumbavu huo. Hapa kwetu kuna mmoja alijiona mungumutu kutumia vyombo vya dola kunyanyasa watu. Leo yuko wapi ?! 6ft under

Hakuna sababu za watu wasio na maono kutumia vyombo vya dola kunyanyasa wananchi . Australia .Japan .South Korea etc hakuna ujinga huo na wameendelea mara 1000 zaidi ya Tanganyika
 
PGO trending in bongo, yaan hili dubwasha hakika polis watalia nalo maana sasa watu wamelijua halikuwai kujulikana na polic kwa sasa wanajuta kuchokonoa kes maana kila mtu atakaye kamatwa ataaulizwa pgo[emoji23]
 
Garbage in and Garbage out ni maneno yasiyo na busara na yanakera sana lakini Kilichotokea kwenye kesi ya Freeman Mbowe Mahakamani kuna mambo ya kujifunza kwa Police wetu na mawakili wa Serikali

Ukiingiza au kujifunza kitu kichafu toka kwa waliokutangulia au viongozi wako yaani (Garbage in) ni ngumu kutoa kitu safi lazima utatoa kitu kichafu kama ulivyojifunza au kuona kwa wakubwa zako yaani (Garbage out)

Je? Police Tanzania Wanafundishwa sheria na mipaka ya kazi zao kutoka kwenye PGO

Kama wanajifunza kwanini wanashindwa kujibu maswali ya mawakili mahakamani?

Police General Orders are mandatory to police officers, Any non compliance police officers should be liable for disciplinary action

Any police order from Headquarters should not be inconsistent with the PGOs

Commander means a police officer of any Rank at the time being in charge of any body of police

Sub unit commander is any inspector or senior inspector or SSGT

Hakuna kazi yeyote isiyokuwa na manuals or orders

Kazi zote zinaongozwa na Sera, Sheria na Maadili ya kazi

Uwe Unafanya kazi TRA, BoT, Commercial Banks, Wizarani iwe wizara ya Fedha, Kilimo au biashara kila mfanyakazi ana wajibu wa kujua sheria zinazomuongoza

Kesi ya Freeman Mbowe imeonyesha police hawajui manual yao au sera zao zinazowaongoza

Police hawajui taratibu za kumkamata mtu, Muda wa kumuhoji, Aina ya makosa ya mtuhumiwa, Haki za mtuhumiwa na hata haki zao hawajui toka kwenye PGOs

Ni muda muafaka wa kuunda Jeshi la polisi lenye uelewa mpana wa mambo yao hasa sheria kanuni na taratibu

Maswali ya PGO, Polisi anachanganyikiwa kabisa na kujibu sifahamu mara lakini..... Lakini nini?
 
Mh sio Kama hawajui,Ila Ni kuweka mazingira ya sintofahamu ya kutojua kuwa sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…