BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Yanayoendelea mahakamani ni ushahidi kwamba kwa Tanzania polisi ni kibaka aliekabidhiwa sare na kudhaminiwa na utawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmhYanayoendelea mahakamani ni ushahidi kwamba kwa Tanzania polisi ni kibaka aliekabidhiwa sare na kudhaminiwa na utawala
Waachane na POLICE FORCE waende kwenye POLICE SERVICE...Two things needs to happen.
1. Our Police force should be left to operate independent of all sorts of political interests.
2. Communication and assignment of responsibilities and orders within the force should be regulated by the famous PGO,
to avoid the abuse of power by senior officers.
Police service...let us focus on the police force,
Si aliandika thesis yake mkuu? Au siyo andiko hilo?Yaani eti magufuli daktari hana andishi hata moja !!
Kigezo cha polisi Tanzania kuajiriwa ni kuwa na Div 4 ya form4. Hawataki 1 wala 2 wala 3 ni four tu.Garbage in and Garbage out ni maneno yasiyo na busara na yanakera sana lakini Kilichotokea kwenye kesi ya Freeman Mbowe Mahakamani kuna mambo ya kujifunza kwa Police wetu na mawakili wa Serikali
Ukiingiza au kujifunza kitu kichafu toka kwa waliokutangulia au viongozi wako yaani (Garbage in) ni ngumu kutoa kitu safi lazima utatoa kitu kichafu kama ulivyojifunza au kuona kwa wakubwa zako yaani (Garbage out)
Je? Police Tanzania Wanafundishwa sheria na mipaka ya kazi zao kutoka kwenye PGO
Kama wanajifunza kwanini wanashindwa kujibu maswali ya mawakili mahakamani?
Police General Orders are mandatory to police officers, Any non compliance police officers should be liable for disciplinary action
Any police order from Headquarters should not be inconsistent with the PGOs
Commander means a police officer of any Rank at the time being in charge of any body of police
Sub unit commander is any inspector or senior inspector or SSGT
Hakuna kazi yeyote isiyokuwa na manuals or orders
Kazi zote zinaongozwa na Sera, Sheria na Maadili ya kazi
Uwe Unafanya kazi TRA, BoT, Commercial Banks, Wizarani iwe wizara ya Fedha, Kilimo au biashara kila mfanyakazi ana wajibu wa kujua sheria zinazomuongoza
Kesi ya Freeman Mbowe imeonyesha police hawajui manual yao au sera zao zinazowaongoza
Police hawajui taratibu za kumkamata mtu, Muda wa kumuhoji, Aina ya makosa ya mtuhumiwa, Haki za mtuhumiwa na hata haki zao hawajui toka kwenye PGOs
Ni muda muafaka wa kuunda Jeshi la polisi lenye uelewa mpana wa mambo yao hasa sheria kanuni na taratibu
Maswali ya PGO, Polisi anachanganyikiwa kabisa na kujibu sifahamu mara lakini..... Lakini nini?
DuhMajibu kwa swali lako yanapatikana kwenye PGO ya 322, nikusomee au nikupe PGO usome mwenyewe?
Hayo si ni mambo ya kipolisi? Imekuwaje yawe gumzo kitaa?Police General Orders
Bjbj hiyo PGO hata Kingai ambaye ni RPC wa Kinondoni haujui. Sasa polisi wa chini wanaonewa bureHayo si ni mambo ya kipolisi? Imekuwaje yawe gumzo kitaa?
Buji naomba nipe pgo yako nimsomeeHuu msemo umeungia sana, kila ninapopita nakutana na watu wakiyatumia maneno hayo.
Hata wasipo yatumia kwa mpangilio huo, neno GPO halikosekani.
Hiyo GPO ni nini haswa, na kwani ipate umaarufu majira na nyakati hizi?