Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.

mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
 
Kuna mtu inamsubiria PGO asante mapilato kwa kutuamsha...no PGO with Notebook no kuniharestii
 
FGO - family general order
WGO - working general order
RGO - relationship general order
 
Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.

mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
PGO ni POLICE GENERAL ORDERS..
Ndio muongozo mkuu wa shuguli zote za polisi.
 
Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.

mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
Jisomee mwenyewe kwa Kiingereza au Kiswahili.
 
Attachments

Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.

mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
Screenshot_20210926-170336.png

Aisee, huyu ACP Ramadhani Kingai ameibua hata ambayo tulikuwa hatuyajui...

Sasa watakoma na kuanzia siku ile Kingai aliposhindwa kujibu maswali ya PGO sitakubali kuonewa na polisi awaye yeyote maana nimeshai - download PGO ya kiingereza na kiswahili....

Japo Kitabu kikubwa chenye kurasa karibu 800, lakini tutakisoma mpaka tujue siri iliyomo ndani yake....
 
Attachments

View attachment 1953815

Asante sana Mkuu
 
Ngoja niipitie hiyo ya kitabuni.halafu niiprinti kabisa copie moja niwe natembea nayo kwenye mishe zangu.
 
Mtani umefurahishwa na nini? Hawa msingi wao mkuu ni PGO, haha namkumbuka Mhaya mwezio alikuwa Alfred Gewe aliniepusha na hiki kikombe, pengine nami ningekuwa mmoja wapo wa wazee wa PGO, akanambia kwa mjibu wa PGO ya 52 sina sifa, japo jina lilipendekezwa tokea wizarani
 
Back
Top Bottom