Anza kwa ndugu au rafiki mwenye cheo kikubwa jeshi la polisi. Huko hakuendeki hivihivi tu rafiki yangu; kuna wenyewe!habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?
habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?
Kwa mwaka jana waliokuwa na four ya 26 walichaguliwa moja kwa moja toka wizarani kujiunga na jeshi la polisi baadae waliitwe kwenye usahili wilayani sahz wapo moshi.hivyo sijajua mwaka huu watachaguliwaje.