police moshi kwa div iv ya 32

police moshi kwa div iv ya 32

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?
 
lazima apitie jkt kwanza akae miake miwili atumikie kwa mujibu wa sheria
 
habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?
Anza kwa ndugu au rafiki mwenye cheo kikubwa jeshi la polisi. Huko hakuendeki hivihivi tu rafiki yangu; kuna wenyewe!
 
habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?

mkuu huyo dogo kafaulu vizuri sana kwa jeshi la polisi,vipi kwenye selform alijaza polisi kama option ya kwanza? anyway subiri wataitwa interview kwenye may
 
Kwa mwaka jana waliokuwa na four ya 26 walichaguliwa moja kwa moja toka wizarani kujiunga na jeshi la polisi baadae waliitwe kwenye usahili wilayani sahz wapo moshi.hivyo sijajua mwaka huu watachaguliwaje.
 
hivyohivyo mkuu
 
Back
Top Bottom