Police officers gun down wanted terror suspect Ismail Mohammed Soshi in Mombasa

Police officers gun down wanted terror suspect Ismail Mohammed Soshi in Mombasa

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
Jeshi la Polisi limemuua gaidi aliyekuwa akisakwa Ismail Mohammed Soshi.

Gaidi huyo ameuawa huko Kisauni jijini Mombasa.

Gaidi huyo alikuwa katika orodha ya watu wanaosakwa kwa udi na uvumba na jeshi la polisi katika kipindi cha miaka miwili.

Alihusika pia kwenye kumuua afisa usalama wa taifa, Hashim Salman mwaka jana


============================
Police have gunned down a wanted terror suspect in Kisauni, Mombasa County.

The suspect, Ismail Mohammed Soshi, a member of a hit squad targeting police officers, had given police sleepless nights over the past two years.

He was accused of killing National Intelligence Service officer Hashim Salman in July last year.

According to Kisauni OCPD Richard Ngatia, the suspect was shot dead at around 11.30am when police raided a rental house in Mwandoni, where he had moved two days ago.

Mr Ngatia said that when the police raided, the suspect shot at them but was killed in an exchange of fire.

“We have recovered a G3 rifle, which he is suspected of stealing from an officer he and others killed,” said Mr Ngatia.

Hundreds of rounds of ammunition and a terrorism training manual, which he is suspected of using to escape police dragnets, were also seized, according to Mr Ngatia.

Last year, police launched a manhunt for a hit squad targeting police officers in Mombasa, to which Soshi was linked.

Members of the hit squad used religious attire, including buibuis, to disguise themselves and hide their weapons.


Source: Daily Nation
 
ugaidi umetokea mara moja kenya??? sio kujitoa akili kwa kiasi hicho!
Mara ngapi? Na mara ya mwisho lilikuwa lini?

Kenya imeyumbishwa sana na ukosefu wa amani.
Hapo ulitumia maneno mazito kupita kiasi.

Ukisema Kenya ina ukosefu wa amani- surely, hiyo ni kumanisha vita- kama Iraq, sSudan , Syria nk.
Hili tatizo la la ugaidi imefanyika mara chache tu, hilo halimanishi hamna amani Kenya, amani ipo, ila kuna suala kidogo tu ya kiusalama hapa na pale.
Ufaransa na USA zimekumbwa na visa kadhaa za ughaidi na uhalifu, lakini hio sio kumaanisha hamna amani kwenye nchi hizo, lakini suala hapa ni la kiusalama.

Umeona tofauti? Ungesema ni tatizo la kiusalama, sidhani kama tungekupinga. Lakini kusema ukosefu wa amani, hapo kidogo umetia chumvi.
 
Back
Top Bottom