Police question 11 MPs over ‘secret’ mission to Somalia

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Wakuu,

Kila siku wakenya wanamtafuta Mchawi kwa janga hili la alshabaab..
Msijichokeshe sana, ukabila, ufisadi wenu ndio tatizo.

=====

Eleven Members of Parliament from North Eastern Kenya were held and questioned by police on Sunday over their secret mission to Somalia.

Citizen Digital understands that the MPs — six from Mandera, three from Wajir and two from Garissa — flew to Mogadishu on Saturday and jetted back to the country on Sunday morning aboard a chartered plane.

They include; Ahmed Kolosh (Wajir West), Ibrahim Abdi (Lafey), Rashid Kassim (Wajir East), Mohamed Hire (Lagdera), Omar Maalim (Mandera East), Bashir Abdullahi (Mandera North), Adan Haji (Mandera West) and Kullow Maalim (Banisa), Adan Ali sheikh (Mandera South), Mohamed Dahir (Dadaab) and Ahmed Bashane (Tarbaj).

Detectives were waiting for the MPs at Wilson Airport before they later moved to the Jomo Kenyatta International Airport where they got hold of the parliamentarians.

Earlier reports had mentioned eight MPs before three more names were released.
Sources disclosed that Kenyan detectives had information that the 11 were making their way to Somalia, where they were allegedly hosted by the Somalia Intelligence Services.
 
Duh noma,Kunakofuka moshi kuna Moto.
 
Wakati huo huo Alshabaab waongeza idadi ya mashambulizi kwa Kenya kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa toka KDF ilipoivamia Somali.
Al-Shabaab launches record 16 raids in Kenya within two months

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Kila siku wakenya wanamtafuta Mchawi kwa janga hili la alshabaab..
Msijichokeshe sana, ukabila, ufisadi wenu ndio tatizo.

=====

Eleven Members of Parliament from North Eastern Kenya were held and questioned by police on Sunday over their secret mission to Somalia.

Citizen Digital understands that the MPs — six from Mandera, three from Wajir and two from Garissa — flew to Mogadishu on Saturday and jetted back to the country on Sunday morning aboard a chartered plane.

They include; Ahmed Kolosh (Wajir West), Ibrahim Abdi (Lafey), Rashid Kassim (Wajir East), Mohamed Hire (Lagdera), Omar Maalim (Mandera East), Bashir Abdullahi (Mandera North), Adan Haji (Mandera West) and Kullow Maalim (Banisa), Adan Ali sheikh (Mandera South), Mohamed Dahir (Dadaab) and Ahmed Bashane (Tarbaj).

Detectives were waiting for the MPs at Wilson Airport before they later moved to the Jomo Kenyatta International Airport where they got hold of the parliamentarians.

Earlier reports had mentioned eight MPs before three more names were released.
Sources disclosed that Kenyan detectives had information that the 11 were making their way to Somalia, where they were allegedly hosted by the Somalia Intelligence Services.
Majuzi serikali ya Kenya ilikusanya ushahidi kuwa watz wapo nyuma ya ugaidi wa wasomali ,ilikusanya hadi jf na kuwa shawishi USA kuwa tz ipigwe ban na USA sasa ukweli umewarudia wao wenyewe

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Walifanya kweli hichi kitu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
True ndiyo maana baada ya muda mfupi Uhuru kaenda kukutana na Trump baadhi ya majina ya wana jf kama Gaza,na motochini ,icho yametumika kama kigezo serikali ya Kenya imeiambia serikali ya USA kuwa hayo majina ni ya viongozi wa Tanzania wakubwa serikalini ,Ndiyo maana pamoja na Kenya kuwa memba wa EAC alipo kutana na trump ajalalamikia kitendo cha USA kuiwekea vikwazo tz

Toa upuuzi wako. Unataka rais wa Kenya ailalamikie U.S kwanini imeiwekea vikwazo Tanzania, inamuhusu nini?
Kwamba eti rais wa Kenya kakabidhi majina ya wanaJF kwa Trump! Unadhani urais ni taasisi ya porojo kama VICOBA.
Kwa hizi akili zako hustahili kujadili masuala ya siasa au usalama. Kuna mijadala ya Amber Rutty na Konde Boy unaweza iendeleza hapa unaleta utapiamlo wa akili.
 
Hahahahaha basi uhuru kenyatta alitisha saana aise dah ila for sure nimecheka saana
True ndiyo maana baada ya muda mfupi Uhuru kaenda kukutana na Trump baadhi ya majina ya wana jf kama Gaza,na motochini ,icho yametumika kama kigezo serikali ya Kenya imeiambia serikali ya USA kuwa hayo majina ni ya viongozi wa Tanzania wakubwa serikalini ,Ndiyo maana pamoja na Kenya kuwa memba wa EAC alipo kutana na trump ajalalamikia kitendo cha USA kuiwekea vikwazo tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa upuuzi wako. Unataka rais wa Kenya ailalamikie U.S kwanini imeiwekea vikwazo Tanzania, inamuhusu nini?
Kwamba eti rais wa Kenya kakabidhi majina ya wanaJF kwa Trump! Unadhani urais ni taasisi ya porojo kama VICOBA.
Kwa hizi akili zako hustahili kujadili masuala ya siasa au usalama. Kuna mijadala ya Amber Rutty na Konde Boy unaweza iendeleza hapa unaleta utapiamlo wa akili.
Wewe uoni hoja za USA kuiwekea vikwazo tz zilivyo feki kwa sababu ni uchochezi feki wa serikali ya Kenya sababu ni nyingi mojawapo ni hii MFUMO KABAMBE ULIOKUWA CHINI YA SERIKALI YA KENYA WAKISHILIKIANA NA WAGENI ( MABEBERU) WA KUFISIDI MADINI YA TZ ,kitendo cha magufuli kuweza kuvunja huo mfumo kimewaumiza wengi kiuchumi Kenya na mabeberu, kama mtakumbuka kuna skendo ilitokea Kenya viongozi wa Kenya kutapeli viongozi wa uarabuni kwa kuwa Uzia dhahabu feki sasa kwenye ili swala kunakitu nyuma ya kapeti tumieni akili mtagundua kitu kati ya Kenya + dhahabu + ufalme wa uarabuni
Kwa kuwa inajulikana vizuri Kenya hakuna madini yoyote ya dhahabu ya kufanya ufalme wa arabuni kujitumbukiza kwenye biashara na Kenya ,kilicho tokea hapo ni makundi mawili ya waujumu uchumi wa Tanzania kudhurumiana baada ya kugundua biashara yao chafu ya muda mrefu imeelekea ukingoni hivyo magufuli siyo chukizo kwa mafisadi ya ndani ya nchi tu bali hata nje ya nchi kama Kenya na SERIKALI yao ,ndiyo sababu madini yote ya tz yalikuwa yanatoroshewa Kenya siyo Uganda ,wala Zambia wala msumbiji wala Burundi ila Kenya hivyo kuna chuki nyingi sana mioyo ya viongozi wa Kenya hivi karibuni kuna njama ilitaka kufanya na SERIKALI ya Kenya ili kuendelea kufanikisha ujuma zake kwenye madini ya tz ila ikashindikana baada ya kugundua tumetambua njama yenyewe ilikuwa ni serikali ya Kenya kufungua ubarozi arusha au moshi sasa unaweza kusema ujuma ingefanyika vipi kwa kupitia ubarozi hapo ilikuwa INA ziba ufa wa kudhibitiwa viwanja vya ndege vilivyo jengwa maeneo ya migodi kusafirisha hadi Kenya madini yetu baada ya magufuli ku block hayo madege ya kufanya ufisadi ikaonekana njia ni kutumia sheria za kibarozi ili kutorosha madini ya tz hadi Kenya ,sasa hapo unatakiwa ujue kuhusu sheria za kibarozi zikoje ili ujue ujuma ilipangwaje

Acha kuongea story za kahawa.
Hakuna nchi yoyote ile inayojenga ubalozi katika mji wowote au kijijini eti wanaamua tu. Balozi zote zinajengwa mji mkuu au mji wa kiserikali tu.

Balozi zote lazima ziwe mji mmoja au zibaki zilikokuwa zamani, mfano Israel balozi lazima zikae Tel Aviv au wale wenye kiherehere wazihamishie Jerusalem. Hapa Tz miaka ijayo unaweza shuhudia baadhi ya balozi ziko Dodoma. Hautokaa ushuhudie eti Rwanda ijenge embassy Kigoma kisa ni karibu au kuna maslahi, hutokaa uone Uganda inajenga embassy Bukoba.

Hizo story za kusadikika katika ulimwengu wa facts huwa zinamdharirisha anayezitoa. Tanzania ulikuwa ni upuuzi wetu tu katika regulation, kwahiyo wale wabongo wanaochukua dhahabu nchini Msumbiji na kuzileta uku nao wana deal na mabeberu wa kiarabu na Tanzania inahusika?

Mbona maua nayo yanapitia Kenya, mbona malighafi nyingi zaidi zinatoka Tanzania kwenda Kenya kuliko zinavyotoka upande ule kuja uku. Mbona bidhaa nyingi zinatoka Kenya kuja Tanzania kuliko zinavyotoka Tz kwenda uko.

Kenya na Tanzania wote hawakujua kama watawekewa vikwazo. Sasa huo muda wa Kenya kuichongea Tz walitoa wapi, na kwanini wasiutumie kushawishi wasiwekewe vikwazo.
 
Toa upuuzi wako. Unataka rais wa Kenya ailalamikie U.S kwanini imeiwekea vikwazo Tanzania, inamuhusu nini?
Kwamba eti rais wa Kenya kakabidhi majina ya wanaJF kwa Trump! Unadhani urais ni taasisi ya porojo kama VICOBA.
Kwa hizi akili zako hustahili kujadili masuala ya siasa au usalama. Kuna mijadala ya Amber Rutty na Konde Boy unaweza iendeleza hapa unaleta utapiamlo wa akili.
Duh nimecheka mimi basi
 
Acha kuongea story za kahawa.
Hakuna nchi yoyote ile inayojenga ubalozi katika mji wowote au kijijini eti wanaamua tu. Balozi zote zinajengwa mji mkuu au mji wa kiserikali tu.

Balozi zote lazima ziwe mji mmoja au zibaki zilikokuwa zamani, mfano Israel balozi lazima zikae Tel Aviv au wale wenye kiherehere wazihamishie Jerusalem. Hapa Tz miaka ijayo unaweza shuhudia baadhi ya balozi ziko Dodoma. Hautokaa ushuhudie eti Rwanda ijenge embassy Kigoma kisa ni karibu au kuna maslahi, hutokaa uone Uganda inajenga embassy Bukoba.

Hizo story za kusadikika katika ulimwengu wa facts huwa zinamdharirisha anayezitoa. Tanzania ulikuwa ni upuuzi wetu tu katika regulation, kwahiyo wale wabongo wanaochukua dhahabu nchini Msumbiji na kuzileta uku nao wana deal na mabeberu wa kiarabu na Tanzania inahusika?

Mbona maua nayo yanapitia Kenya, mbona malighafi nyingi zaidi zinatoka Tanzania kwenda Kenya kuliko zinavyotoka upande ule kuja uku. Mbona bidhaa nyingi zinatoka Kenya kuja Tanzania kuliko zinavyotoka Tz kwenda uko.

Kenya na Tanzania wote hawakujua kama watawekewa vikwazo. Sasa huo muda wa Kenya kuichongea Tz walitoa wapi, na kwanini wasiutumie kushawishi wasiwekewe vikwazo.
Wewe ujui ila serikali ya magufuli na raisi mwenyewe anayajua haya vizuri na serikali ya Kenya inajua huu ukweli siyo Mara ya kwanza kumbukeni njama za Kenya kuhusu COW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu Kenya kutaka kuwa na ubarozi Mdogo wa pili hapa tz sitaki kukujibu Mimi wana JF ndiyo watakao kujibu na wakenya walichangia sana hapa jf ,maana mm sibishani na mambumbumbu
Acha kuongea story za kahawa.
Hakuna nchi yoyote ile inayojenga ubalozi katika mji wowote au kijijini eti wanaamua tu. Balozi zote zinajengwa mji mkuu au mji wa kiserikali tu.

Balozi zote lazima ziwe mji mmoja au zibaki zilikokuwa zamani, mfano Israel balozi lazima zikae Tel Aviv au wale wenye kiherehere wazihamishie Jerusalem. Hapa Tz miaka ijayo unaweza shuhudia baadhi ya balozi ziko Dodoma. Hautokaa ushuhudie eti Rwanda ijenge embassy Kigoma kisa ni karibu au kuna maslahi, hutokaa uone Uganda inajenga embassy Bukoba.

Hizo story za kusadikika katika ulimwengu wa facts huwa zinamdharirisha anayezitoa. Tanzania ulikuwa ni upuuzi wetu tu katika regulation, kwahiyo wale wabongo wanaochukua dhahabu nchini Msumbiji na kuzileta uku nao wana deal na mabeberu wa kiarabu na Tanzania inahusika?

Mbona maua nayo yanapitia Kenya, mbona malighafi nyingi zaidi zinatoka Tanzania kwenda Kenya kuliko zinavyotoka upande ule kuja uku. Mbona bidhaa nyingi zinatoka Kenya kuja Tanzania kuliko zinavyotoka Tz kwenda uko.

Kenya na Tanzania wote hawakujua kama watawekewa vikwazo. Sasa huo muda wa Kenya kuichongea Tz walitoa wapi, na kwanini wasiutumie kushawishi wasiwekewe vikwazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu Kenya kutaka kuwa na ubarozi Mdogo wa pili hapa tz sitaki kukujibu Mimi wana JF ndiyo watakao kujibu na wakenya walichangia sana hapa jf ,maana mm sibishani na mambumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo mbumbumbu kabisa. Umeanza kwa kusema ubalozi nikakupinga sasa unasema ubalozi mdogo. Kwa akili yako unashindwa kutofautisha EMBASSY na CONSULATE alafu unakuja kuleta hoja hapa. Embassy ni moja tu nchini inakowakilisha na inatakiwa iwe mji kama nilivoeleza mwanzo, na kuna balozi mmoja tu anayewakilisha nchi yake. Consulate au ubalozi mdogo unaojitetea nao inaweza kuwepo hata kila mkoa ilimradi tu nchi husika imeamua, na kunaweza kuwepo consuls wengi kadiri ya nchi inavyoweza kumudu. Kenya haiwezi kujenga embassy kule Moshi, kama vipi waite waje watwambie.
 
Kiswahili hakina mambo mengi kwenye ya misamihati sasa kamaulijua hivyo kuwa nimemaanisha ubalozi Mdogo kwanini ulipinga ubalozi ni ubalozi tu

Back
Top Bottom