mambo ya watu kutekwa ni mambo ya kawaida,otherwise uwe mjinga ushindwe kuelewa vitu vidogo kama hivi,polisi wanafanya kazi yao,basis,hilo linatosha....
katika wiki ile aliyotekwa mo pia kuna matajiri kadhaa afrika wametekwa ikiwemo afrika kusini,nchi ambayo inasemekana ni bora katika ulinzi afrika,katika matajiri watatu waliotekwa,mmoja watekaji walijitokeza baada ya siku tatu,wakatoa mahitaji wanayotaka, wakapewa,wakamuacha mateka...!!huyo mwingine ye ndo hadi leo hii hajapatikana...
polisi wanafanya kazi yao usipende kuwasikiliza wabongo sana sana watakupoteza!