Police Station Yavamiwa, G3 Guns Zaibwa Serious Security Concerns in Mumias West kakamega county

Police Station Yavamiwa, G3 Guns Zaibwa Serious Security Concerns in Mumias West kakamega county

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Usiku wa Ijumaa, Musanda Police Station Mumias West, Kakamega County ilivamiwa na armed assailants. Watu sita waliokuwa wamepanda pikipiki mbili walifika kituoni wakidai motorbike imeibiwa, lakini muda mfupi baadaye wakafyatua risasi na kuanzisha vurugu.

During the attack, police officers watatu na civilian mmoja walijeruhiwa. Bunduki mbili aina ya G3, each loaded with 20 rounds of ammunition, ziliibwa kutoka kituoni.

Koplo mmoja alipatikana akiwa unconscious na majeraha makubwa, huku askari wengine pamoja na mke wa polisi mmoja wakipata injuries za kichwa na sikio.

The injured were rushed to Bungoma West Hospital ambapo wanaendelea kupokea treatment. Polisi walipata crowbars mbili zinazodhaniwa kutumika kuvunja steel box ya silaha, na blood stains zilionekana kwenye nyumba za maafisa.

Investigations zinaendelea huku police wakifanya manhunt kuzipata G3 rifles zilizoibwa na kuwakamata washukiwa.
Serious security concerns raised. Jamii Forums members, mnasemaje kuhusu safety ya police stations na communities zetu?
Source -Citizen digital
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom