Police waeshimu nyumba za ibada

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Kuna dhana ambayo police na serekali kwa ujumla wanawaonea sana makanisa na ni tofauti sana kwa misikiti wanaiogopa sana, maranyingi sana kusikia makanisa yamefungwa kwa sababu ya kupigia watu kelele na mengine kubomolewa kupisha upanusi wa barabara. Kubwa zaidi ni pale serekali ilipo lazimisha kupitisha umeme mbele ya kanisa la kakobe na juzi police force kupiga maabomu ndani ya nyumba ya ibada efata bila kujali. kwanini ni kwa makanisa tu na sio kwenye msikiti
 
bifu la kenyela na mwingira..sheria inasemaje?
 
Kuna msikiti mingi inafunja sheria lakimi police wanagwaya kutumia nguvu mfano ni kule ndanda sec wanafunzi walitishia kuchoma shule na kujifungia mskitin na kupanga mpango ya ufamia shule lakini police walichokifanya ni kulinda msikiti na shule na si kufamia kwa nn
 
Maeneo mengi utakuta misikitini wameweka vipaza sauti na wanatukana wakristo hakuna anaejari
 
hivi umesahau kuwahata serikali inawahofia waislamu/ kwani unafikiri hawaoni mambo ya alishabab au ali quida?
 
hilo nalo neno na ndilo walilokuwa wamelisahau.
 
Acha kutetea makanisa ya wahuni wewe. Tunalalamika kila siku polisi kuruhusu CCM kuwa na jeshi lao la Green Guard kwa ajili ya kupiga watu na kuiba kura, hivyo tunatakiwa kulaani kwa nguvu zote kitendo cha viongozi wa dini kujianzishia vikundi vya wahuni na kuvipa silaha ili kufanya uhalifu kama wa kuvamia kiwanda cha jirani. Kwa mara ya kwanza nawapongeza polisi kwa kulivunja jeshi la Efata na wanatakiwa sasa kumkamata mchungaji aliyewatuma wale wahuni kufanya uhalifu kwa kisingizio cha dini. Dini zinahubiri amani, upendo, uvumilivu na unyenyekevu; kuwa na jeshi la wahuni ni kinyume cha mahubiri ya dini.
 
Mwingira anataka kuanzisha dola yake!kila mahali anagombea ardhi.pia ana jeshi lake hata mwema hamfikii.ISLAM IS PEACE!
 

.....na kuunga mkono asilimia zote......! hao wanajiita "mitume na manabii" wanashawishi waumini wao kwanza kwenda kufanya vurugu.....! sijui wameona dalili za kushindwa........!!! wajua ukitaka chukua haki ya mtu na mwenyewe akakomaa, unatakiwa kutumia nguvu!!!!! ndio nabii wetu anafanya sasa
 
EFATA na KAKOBE sio makanisa ''rasmi''.......umeshasikia Polisi wamevamia RC?
 

Teh teh kufamia
 
Maeneo mengi utakuta misikitini wameweka vipaza sauti na wanatukana wakristo hakuna anaejari

Ndo maana namshukuru Mungu wakristo tuna moyo wa uvumilivu na hatupendi kulipiza baya kwa baya bali kwa jema
 

ha kuna makanisa yashafika huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…