3squere
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 925
- 181
Kuna dhana ambayo police na serekali kwa ujumla wanawaonea sana makanisa na ni tofauti sana kwa misikiti wanaiogopa sana, maranyingi sana kusikia makanisa yamefungwa kwa sababu ya kupigia watu kelele na mengine kubomolewa kupisha upanusi wa barabara. Kubwa zaidi ni pale serekali ilipo lazimisha kupitisha umeme mbele ya kanisa la kakobe na juzi police force kupiga maabomu ndani ya nyumba ya ibada efata bila kujali. kwanini ni kwa makanisa tu na sio kwenye msikiti