Hao ndio wanaompa kichwa na dharau, lazima awabembeleze! Wafanyakazi mna nini. You can be hired and fired at will! Your labour power is not tied!Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma.
Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
Zote ni idar za serekaliZimamoto hawana haja ya kupewa jengo haraka haraka hivyo na hata wakipewa litakuwa la kawaida tu.
Uhamiaji mabishoo wengi wale watafanya mambo yao kisomi na taratibu.
Magereza wao wana nguvu kazi na wana maeneo makubwa sana tofauti na Polisi wao hawawezi kupewa watajenga wao wenyewe.
Kawaida ya wajelajela ni kuanzisha miji mipya
Serekali = SerikaliZote ni idar za serekali