Polisi acheni kuhaha Gen Z si Gen Ziro wala Genccm

Polisi acheni kuhaha Gen Z si Gen Ziro wala Genccm

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1764785391360.png

Onyo na matishio vya jeshi la Polisi linashangaza., kuhuzunisha hata kutia shaka mbali na kukera,

Naona kama wanahaha na kutisha jambo ambalo linazidi kupandisha Watanganyika hasira.
Wamegoma kujifunza tokana na Oktoba 29.

Ni dhahiri watarudia makosa

Nashauri wasifanye makosa

Waache wenye nchi wafaidi haki zao za kikatiba

Hii ncni siyo ya rais wala ccm na machawa Tujali kuwa Gen Z nao, watashikilia msimamo wao
Ama kweli ICC inaita watu

Kwanini taifa limekosa watu wenye akili na busara safi?

Je, nini kifanyike kuepusha ukatili na uzwazwa huu?

Je, Gen Z watanywea au kuliamsha tena?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Back
Top Bottom