The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Padri kufanya biashara ni Uongo wa mchana kweupeSiongelei kuhusu hii ishu ila Kuna padri namjua ana mali zake binafsi na biashara nyingi tu hapa Iringa.
By the way RC wana msemaji wao wewe kuingilia hili suala ni kiherehere tu.
Je msemaji wao akijitokeza na kusema ni kweli?
Subiria majibu. Kanisa haliendekez ujingaDEni ni shiling ngapi? Alikopa kwa nani na nani? Kanisa linasemaje?
Mimi ninashangaa watu chini ya kumi wanasumbua nchi.Ila waTz tumekuwa mafala sana , hivi tunashindwa kuwaokota mmoja mmoja huko mitaani kabla ya October wawe wamebakia wachache tu
Mi nakwambia kitu ninachokijua wewe ambaye humjui Wala hujui alipo unabisha.Padri kufanya biashara ni Uongo wa mchana kweupe
Kawashughulikie mkuuMimi ninashangaa watu chini ya kumi wanasumbua nchi.
Kwa nini asishugulikiwe hata mwana mfalme ili utekaji wote ukome na hata Malkia ataachia ngazi ghafla
Padri hawezi kufanya biashara direct Wewe tulia biashara ya Mapadre tunazijua ni shule wakati yeye anakua na hisaMi nakwambia kitu ninachokijua wewe ambaye humjui Wala hujui alipo unabisha.
Hivi unahisi una akili timamu kweli? Au unaishi kwa kukariri na hutaki kuishughulisha akili yako kuamini vitu viko tofauti na vile unavyoamini.
Mahakamani yatajulikaDEni ni shiling ngapi? Alikopa kwa nani na nani? Kanisa linasemaje?
Hawa viongozi wa kanisa waombe sana. Hapana, itabidi sisi sote kama waTanzania tunaolitakia mema taifa letu tuombe sana; kila mmoja kwa imani yake.Najua mambo mengi kuhusu kanisa Roman .
Kwanza mapadre au Mafather maisha Yao yote ya kitume yanagharamiwa na Kanisa, kila kitu anachokuwa nacho Padre anakuwa kapewa na Kanisa.
Sasa hayo Madeni yametoka wapi? Maana kama ni hela za Nini?. Kila kanisa PAROKIA Kuna nyumba za mapadri.
Ukitumia Common sense haingii akilini.!!
Polis wa Tanzania akili waliziacha wapi ?
Maana
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limesema Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, Jordan Kibiki hakutekwa kama ambavyo alieleza kwenye mtandao wa WhatsApp, isipokuwa alitoa taarifa za uongo baada ya kukabiliwa na madeni makubwa.
Anyway Rais wenu amesoma Pakistan na nchi inapelekwa ki pakistan Pakistan
Britanicca
Najua mambo mengi kuhusu kanisa Roman .

Hivi Bongo hapa hatuna highly talented sniper kama Tyer Robinson?Mimi ninashangaa watu chini ya kumi wanasumbua nchi.
Kwa nini asishugulikiwe hata mwana mfalme ili utekaji wote ukome na hata Malkia ataachia ngazi ghafla
Binafsi naamini kabisa hata akipita salama huu mwaka kwenye huu uchafuzi wake anaojishindanisha yeye mwenyewe, hiyo miaka inayofuata hatamaliza muhula wake nakwambia..!!Hawa viongozi wa kanisa waombe sana. Hapana, itabidi sisi sote kama waTanzania tunaolitakia mema taifa letu tuombe sana; kila mmoja kwa imani yake.
Awamu ya Samia ya miaka mitano kama itakuwepo; haya maswala ya imani za watu zitaleta matatizo makubwa.
Padre Kitima alisemwa kuwa alikuwa kwenye kilevi alipo gongwa na kitu butu kichwani; na hadi leo hii polisi hawana habari yoyote na swala lake.
Mtu kama Gwajima italazimu aihame nchi, hakuna namna nyingine.
Bila shaka, katika kutimiza azma ya msisitizo wa "AMANI" isiyo ambatana na "HAKI", kama hali ya kiimani nchini ilivyo jipambanua yenyewe, mengi yataonekana kuhusu hali hiyo katika awamu hiyo ya Samia madarakani.
Tuliombee sana taifa letu.
Najua mambo mengi kuhusu kanisa Roman .
Kwanza mapadre au Mafather maisha Yao yote ya kitume yanagharamiwa na Kanisa, kila kitu anachokuwa nacho Padre anakuwa kapewa na Kanisa.
Sasa hayo Madeni yametoka wapi? Maana kama ni hela za Nini?. Kila kanisa PAROKIA Kuna nyumba za mapadri.
Ukitumia Common sense haingii akilini.!!
Polis wa Tanzania akili waliziacha wapi ?
Maana
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limesema Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, Jordan Kibiki hakutekwa kama ambavyo alieleza kwenye mtandao wa WhatsApp, isipokuwa alitoa taarifa za uongo baada ya kukabiliwa na madeni makubwa.
Anyway Rais wenu amesoma Pakistan na nchi inapelekwa ki pakistan Pakistan
Britanicca
Ni wajinga sana hao polisHivi kuna mtu huwa anaamini taarifa zinazotolewa na polisi kwenye press zao? Ebu fuatilia press zao za nyuma kwa mfano:-
1. SISITIVII ya AIGIPI ZIRO kuhusu utekaji wa MO
2.ZCO Zombe kuhusu Wafanyabiashara wa Mahenge waliouliwa msitu wa PANDE na kusema ni majambazi.
3.Afande Muliro j4 - Sativa tulimuokoa maana alitekwa na Washikaji.
4....
Zipo nyingi sana ila nimeweka hizi za recently
Anakopa kwa kuweka dhamana ipi? Maana Padre haruhusiwi kumiliki mali, na pia haruhusiwi kufanya biashara binafsi. Mali zote! Iwe gari, fedha, biashara, shule, nk. Ni mali ya Kanisa. Na bahati mbaya zaidi Kanisa halikopi.Kwamba ukiwa Padre huwezi kukopa au kufanya biashara? Huwezi kuwa na madeni?
Maswali Kama haya majibu yake ni Mahakamani.DEni ni shiling ngapi? Alikopa kwa nani na nani? Kanisa linasemaje?