Mimi nilifikiria wewe ndiyo ungejitolea sasa kuwa huyo highly talented sniper kwa kujifunza mwenyewe kupitia utube, nk. Hii ingekaa vizuri sana. Kwa sababu una wazo zuri.Hivi Bongo hapa hatuna highly talented sniper kama Tyer Robinson?
Mimi niko tayari kumlipa kwa kazi maalumu.
Mapadre kuwa na vimada, kuwajengea nyumba, kuwawezesha kibiashara, kuwa na watoto, nk. Siyo uhalifu! Ila haoo mapadre wanakuwa wamekiuka tu viapo vyao vya kuishi maisha ya useja, na pia kwenda kinyume na sheria za Kanisa.Nchi hii Kwa sasa, Siasa zinatupelekea kutetea hata waharifu. Kuna Mapadri wamevaa ngozi ya kondoo tinao huku mitaani. Wana Vimada, wamewajengea majumba na kuwezeshwa biashara na hata kuzaa nao watoto. Kwa sababu mfumo wa Kanisa ni wa Siri kubwa, linayajua haya lakini haliwrzi Toka hadharani kuumbuana. Tusiamini kuwa Watawa wote ni wasafi Kuna wenye kukengeuka na hatua zake ni Siri ya Kanisa.
Naona umesaidia kuonyesha sio kweli kuwa Mapadri wote Wana maisha ya Kitawa, kwamba hawana pesa sababu wanahudumiwa na Kanisa tu. Chakujiuliza hawa wanaokengeuka wanapataje pesa ya juyafanya Hayo? Huyu imeonyesha ni mkopaji nzuri, yawezekana anakopa hata Kwa waumini wake. Kwa Nini tumtetee kuwa hawezi Fanya Hayo Kwa kigezo Wanaoishu maisha ya Kitume hawanaga shida ya pesa? Yaani za Nini Hali kuwa wameapa kuishi Kwa kutunzwa na Kanisa!!??Mapadre kuwa na vimada, kuwajengea nyumba, kuwawezesha kibiashara, kuwa na watoto, nk. Siyo uhalifu! Ila haoo mapadre wanakuwa wamekiuka tu viapo vyao vya kuishi maisha ya useja, na pia kwenda kinyume na sheria za Kanisa.
Na ufahamu pia hakuna mwanadamu mkamilifu. Na utakuwa bila shaka uko peke yako, unayeamini kama watawa wote ni wasafi.
Padri ana Biashara gani hadi hawe na madeni Makubwa? Na kama alikopa atazilipaje hizo fedha?.....kukabiliwa na madeni makubwa.
Unaweza kunipa sababu tano tu za msingi kabisa kuonyesha kuwa jeshi la polisi hawajakosea kuweka hicho kigezo Cha failures ndo wanotakiwa kujiunga na jeshi la polisi ???ufala wa kwanza tulioaminishwa ni kuaminu kwamba common sense inatoka darasani,ndio maana wasomi nchi hii hata wakifanya upuuzi inaonekana wako kwenye research.
Polisi wa Wabongo, ni chawa wa CCM and they can say any rubbish to protect the authorities hivyo ni mpumbavu pekee anayeweza kuwaamini(the police previous records say it all) unless if they can present before us the water tight proofs ya yale wayasemayo.Naona umesaidia kuonyesha sio kweli kuwa Mapadri wote Wana maisha ya Kitawa, kwamba hawana pesa sababu wanahudumiwa na Kanisa tu. Chakujiuliza hawa wanaokengeuka wanapataje pesa ya juyafanya Hayo? Huyu imeonyesha ni mkopaji nzuri, yawezekana anakopa hata Kwa waumini wake. Kwa Nini tumtetee kuwa hawezi Fanya Hayo Kwa kigezo Wanaoishu maisha ya Kitume hawanaga shida ya pesa? Yaani za Nini Hali kuwa wameapa kuishi Kwa kutunzwa na Kanisa!!??
ufanye hayo yote ili iweje na umeamua kuwa PADRIKwamba ukiwa Padre huwezi kukopa au kufanya biashara? Huwezi kuwa na madeni?
Mimi sijakataa kama Padre hawezi kukopa (kwa sababu na yeye ni binadamu). Ila kama ikitokea akafanya hivyo, basi atakuwa amefanya kinyume na taratibu za Kanisa zinavyomtaka. Yaani ni sawa tu akiwa na kimada, watoto, biashara, nk.Naona umesaidia kuonyesha sio kweli kuwa Mapadri wote Wana maisha ya Kitawa, kwamba hawana pesa sababu wanahudumiwa na Kanisa tu. Chakujiuliza hawa wanaokengeuka wanapataje pesa ya juyafanya Hayo? Huyu imeonyesha ni mkopaji nzuri, yawezekana anakopa hata Kwa waumini wake. Kwa Nini tumtetee kuwa hawezi Fanya Hayo Kwa kigezo Wanaoishu maisha ya Kitume hawanaga shida ya pesa? Yaani za Nini Hali kuwa wameapa kuishi Kwa kutunzwa na Kanisa!!??
Haswaaa atakuwa amefanya Kwa utashi wake na atakuwa ametenda kosa la kudanganya kuwa alitekwaMimi sijakataa kama Padre hawezi kukopa (kwa sababu na yeye ni binadamu). Ila kama ikitokea akafanya hivyo, basi atakuwa amefanya kinyume na taratibu za Kanisa zinavyomtaka. Yaani ni sawa tu akiwa na kimada, watoto, biashara, nk.
Na kuhusu hili la Padre Kibiki, binafsi nilitamani kupata maelezo ya kina kutoka polisi. Na kama kweli amefanya, basi amefanya kwa utashi wake. Kama nilivyo elezea hapo juu.
Tutayajua yakifika Mahakamani ila Kwa sasa tubaki na mashaka yetu lakini sio tuhumu kuwa polisi ni Waongo sababu ati mtuhumiwa ni Kasisi, na Kasisi hahitaji pesa. Hii si kweli.Polisi wa Wabongo, ni chawa wa CCM and they can say any rubbish to protect the authorities hivyo ni mpumbavu pekee anayeweza kuwaamini(the police previous records say it all) unless if they can present before us the water tight proofs ya yale wayasemayo.
Kama ni kweli lakini! Maana wewe rafiki yangu Muliru na vijana wako kwa kutengeneza tu muvi za matukio, mko vizuri!Haswaaa atakuwa amefanya Kwa utashi wake na atakuwa ametenda kosa la kudanganya kuwa alitekwa
Simtetei huyo Padre hata kidogo, nazungumzia uongo wa polisi wanapokuwa wamehusishwa na uhalifu iwe ni wao direct au iwe ni kile kikosi chao kisicho rasmi dubbed as wasiojulikana au iwe wanatetea uzandiki wa CCM au viongozi wa serikali. They're can go deeper than anyone can believe just to protect some stupid ass-holes.Tutayajua yakifika Mahakamani ila Kwa sasa tubaki na mashaka yetu lakini sio tuhumu kuwa polisi ni Waongo sababu ati mtuhumiwa ni Kasisi, na Kasisi hahitaji pesa. Hii si kweli.
1-hakuna polisi aliyefeli,kwa tafsiri ya failure necta,ndio maana wana vyeti wote,isipokuwa ni wanafunzi wasiochaguliwa kuendelea na shule.Unaweza kunipa sababu tano tu za msingi kabisa kuonyesha kuwa jeshi la polisi hawajakosea kuweka hicho kigezo Cha failures ndo wanotakiwa kujiunga na jeshi la polisi ???
some stupid ass-holes indeed🤣Simtetei huyo Padre hata kidogo, nazungumzia uongo wa polisi wanapokuwa wamehusishwa na uhalifu iwe ni wao direct au iwe ni kile kikosi chao kisicho rasmi dubbed as wasiojulikana au iwe wanatetea uzandiki wa CCM au viongozi wa serikali. They're can deeper than anyone can believe just to protect some stupid ass-holes.
Sawa sawa mkuu acha nilifanyie kazi hili pendekezo lako.Mimi nilifikiria wewe ndiyo ungejitolea sasa kuwa huyo highly talented sniper kwa kujifunza mwenyewe kupitia utube, nk. Hii ingekaa vizuri sana. Kwa sababu una wazo zuri.
Si ulimuona hata yule Hamza! Hakuajiri mtu. Badala yake alichukua mashine na kuanza kuwatungua wabaya wake mmoja baada ya mwingine, mpaka pale na yeye walipo muotea.