Polisi acheni uongo juu ya Padri aliyetekwa

Kwa ufupi polisi wetu wameshaona wabongo ni matoinya tu hatuna sumu, wanaweza kutupa hata maelezo ya kipumbavu kwenye jambo linalohitaji maelezo yakinifu.

Mbaya zaidi siku hata polisi nao wanatetewa na raia kwa majibu hayo ya kipuuzi kwenye mambo mazito
 
Yaani mimi siwezi kuamini taarifa za polisi hata zikiwa zina chembe chembe ya ukweli ,taarifa zao mara nyingi 1% ukweli ,99% uongo.

Taarifa zao wanakwambia majambazi hayo yalikuwa yanarushiana risasi na polisi kwa bahati mbaya wawili walijeruhiwa vibaya wakati wakiwa njiani kupelekwa hospital waliaga dunia ,kumbe walichukulikwa kwenye gari wakapelekwa msitu wa pande wakapigwa risasi za visogo.
 
Jeshi letu la polisi ni la ******* sana, ninalichukia sana tena sio kidogo.
 
Padri hawezi kufanya biashara direct Wewe tulia biashara ya Mapadre tunazijua ni shule wakati yeye anakua na hisa
I'm not like u man.
Amini unachoamini Mimi naelezea nnachokijua.
Akili yako imefungwa ndani ya box
 
 
Tena mafinga, waamini wanatoa sadaka za kutosha. Padri hawezi kuwa na hizo njaa. Inasikitisha sana kwa afande RPC kuingja mkenge.
 

View: https://youtu.be/VUZibDQppxo?si=23brGfsGxwEAXVoF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…