Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Rushwa ni ya mfumo. Kama kosa la traffic ni 30,000 na nikimpa 10,000 ananiachia, what do you expect of a human being with no piece of washing soap at home? Nimserve 20 na bado tajiri mwenye gari anahitaji 40,00 per day. Utafanyaje?''Askari ambaye anapokea rushwa hiyo tabia ametoka nayo kwenye malezi na wananchi ndio wamekuwa wakichochea polisi kuchukua rushwa'' - Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime
Je kweri wananchi ndo wanachochea polisi kuchukua rushwa.
Upigwe fine bila kosa?Rushwa ni ya mfumo. Kama kosa la traffic ni 30,000 na nikimpa 10,000 ananiachia, what do you expect of a human being with no piece of washing soap at home? Nimserve 20 na bado tajiri mwenye gari anahitaji 40,00 per day. Utafanyaje?
Pendekeza katika scenario kama hiyo tufanyeje kuzuia kuta rushwa