Watu wengi wanapotea kwa taarifa kua walichukuliwa, waliitwa ama kukamatwa na Polisi ilihali maiti ikiokotwa sehemu kadhaa, na imefikia hatua Halmashauri ya Mkuranga kutangazwa kazi ya kuzika maiti ambazo wenyewe hawajulikani.
Tazama clip hii watu wakiamriwa na jeshi la polisi wachague ama kuondoka au wabaki ambako wanaweza kufa! Je, polisi wamepewa kibali cha kuua?
IGP, Waziri wa mambo ya ndani hongereni kwa kazi nzuri, Raisi Samia mpandishe cheo huyu askari mzalendo!