Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza.

Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni;
1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo)

2. Kuliwaibua wabunge, meya wa Manchester, Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri Mkuu. Wote wamelaani vikali mwenendo uliooneshwa na askari Polisi

3. Polisi aliyefanya tukio hilo kasimamishwa kazi.

Kwa kosa dogo kama hilo nchini Tanzania, huyo askari angechukuliwa hatua gani?
 

Attachments

  • Police_Officer_Suspended_Following_Video_of_Kicking_Incident_at_Manchester_Airport(144p).mp4
    4.5 MB
Back
Top Bottom