Polisi ataka kumpasua RPC wa Pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia.

Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo.

Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria kuhusu kuficha jambo ambalo alitaka kumpasua RPC.

Tukio hili lilitokea Tanga wakati Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akiwa kwenye ziara wilaya ya Mkinga Februari 15, 2026 ambapo Mwigulu alitoa maelekezo kwa Askari Polisi aliyetaka kuzungumzia hadharani changamoto zake dhidi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani kutozungumza suala hilo hadharani kwani ni suala la kipolisi.

Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Wazrli Mkuu amzuia.

Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo.

Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria kuhusu kuficha jambo ambalo alitaka kumpasua RPC .

Kwa jambo kama hili la 'ndani' lifike mpaka hadharani kwa PM basi huko 'ndani' ni pagumu.
 
Vyombo vimeanza kugongana vyenyewe kwenye kabati.
 
Kwisha habari yake huyo.... ukoo wa panya huo, huwezi kuwa na mgogoro na mkuu, hata kama kosa ni lake
 
Nchi iko chini ya polisi sasa unashangaa nini wakivimbiana?
Ndo ujue hao mbwiga hawaogopi yoyote sasa hivi..!!
 
Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia.

Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo.

Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria kuhusu kuficha jambo ambalo alitaka kumpasua RPC.

Tukio hili lilitokea Tanga wakati Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akiwa kwenye ziara wilaya ya Mkinga Februari 15, 2026 ambapo Mwigulu alitoa maelekezo kwa Askari Polisi aliyetaka kuzungumzia hadharani changamoto zake dhidi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani kutozungumza suala hilo hadharani kwani ni suala la kipolisi.

Duh,
Baada ya hapo akatoweka na kupotea?
mwigulu na utekaji ni kama uji na mgonjwa
 
Back
Top Bottom