Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mimi mwenyewe naona maruweruwe tu akikujibu uniite.Mkuu.
Umeandika kama wote wanalifahamu jambo hilo. Elezea tukio kwa ukamilifu ili tukuelewe.
Kwa jambo kama hili la 'ndani' lifike mpaka hadharani kwa PM basi huko 'ndani' ni pagumu.Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Wazrli Mkuu amzuia.
Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo.
Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria kuhusu kuficha jambo ambalo alitaka kumpasua RPC .
RPC wa Pwani anafukuza sana askari wake kaziKwa jambo kama hili la 'ndani' lifike mpaka hadharani kwa PM basi huko 'ndani' ni pagumu.
Duh,Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia.
Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo.
Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria kuhusu kuficha jambo ambalo alitaka kumpasua RPC.
Tukio hili lilitokea Tanga wakati Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akiwa kwenye ziara wilaya ya Mkinga Februari 15, 2026 ambapo Mwigulu alitoa maelekezo kwa Askari Polisi aliyetaka kuzungumzia hadharani changamoto zake dhidi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani kutozungumza suala hilo hadharani kwani ni suala la kipolisi.