mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya milioni 30 tanguniifungue miaka zaidi ya ishirini nyuma.
Enzi za mwalimu,kamanda wa Polisi mkoa ,au boss wa TRA ya enzi zile ikiitwa forodha angeshamuhoji huyu anayejiita Chief Goodlove.
Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu