Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Hivi kuna Sheria inayokataza kufuga majini na mizimu (inayojidhihirisha kama nyoka) inayoleta pesa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Watu wa JF😀😀😀Waanze kukukamata wewe kwanza na kukuhoji,kwanini wewe ni masikini licha ya kupata mamilioni baada ya kuuza Nyumba ya urithi?
Halafu kwani huyo Chief Godlove ndio nani huko Daslam?
Formula ni kuonyesha una maisha fulani mtandaoni labda via forex au chochote. Toka toka nje kidogo hapo south endesha gari za kukodi.kingilio 150k akipata wajinga 10,000 anapata 1.5 billion just imagine
Duuuh naona chawa kachachamaaHasira zako za kutumbuwa pesa yako ya urithi unaelekeza kwa wengine.
Ufukara ukichanganya na roho mbaya ndio inakuwa uchawi.
Chawa mwingine huyu hapa katokea mwenyeweUtaolewa na kuendelea kufumuliwa matako kwa kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako... Chuki wivu na umasikini unawafanya WaTz mfe haraka
Watu watakupuuza ila umesekaTena ingetakiwa kukamatwa muda mrefu sana, sbb inatakiwa aseme wazi anafanya biashara gani na analipa kodi kiasi gani, usikute ni mtu hatari sana na anashawishi vijana ujinga
Kama serikali iko kimya jua wameshamchungulia wameona. Pesa alizonazo ni za kawaida sema sisi Wanyakyusa tuna kelele sana. Ila angalau anazo za kusumbua mjini na uzuri Mwaisa anarudi nyumbani kwa mama yake mara kdhaaa hali peke yakeSio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya milioni 30 tanguniifungue miaka zaidi ya ishirini nyuma.
Enzi za mwalimu,kamanda wa Polisi mkoa ,au boss wa TRA ya enzi zile ikiitwa forodha angeshamuhoji huyu anayejiita Chief Goodlove.
Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu
Polisi hawatakiwi kumkamata mtu bila ushahidi wa huyo mtu kuvunja sheria.Tena ingetakiwa kukamatwa muda mrefu sana, sbb inatakiwa aseme wazi anafanya biashara gani na analipa kodi kiasi gani, usikute ni mtu hatari sana na anashawishi vijana ujinga
inavo onesha ata mgao wako hukuufanyia la maana usingekua na muda wa ku judge mambo ya watuSio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya milioni 30 tanguniifungue miaka zaidi ya ishirini nyuma.
Enzi za mwalimu,kamanda wa Polisi mkoa ,au boss wa TRA ya enzi zile ikiitwa forodha angeshamuhoji huyu anayejiita Chief Goodlove.
Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu
Mukulu una hasira sana,Achana na vitoto hivi pambania ardhi yako.Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.