Ngoja wajeSio kama nina wivu bali sheria ya m9ney laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithina hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,t
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za nauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawaikuingiziwa zaidi ya milioni 30 tanguniifungue miaka zaidi ya ishirini nyuma.
Enzi za mwalimu,kamanda wa Polisi mkoa ,au biss wa TRA ya enzi zile ikiitwa f9ridha angeshamuhoji huyu anayejiita Chief Goodlove.
Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu
Wamkamate kwa kosa gani??Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya milioni 30 tanguniifungue miaka zaidi ya ishirini nyuma.
Enzi za mwalimu,kamanda wa Polisi mkoa ,au boss wa TRA ya enzi zile ikiitwa forodha angeshamuhoji huyu anayejiita Chief Goodlove.
Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu
Sio kama nina wivu bali sheria ya m9ney laundering iko wazi.
Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithina hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340,t
Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za nauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawaikuingiziwa zaidi ya milioni 30 tanguniifungue miaka zaidi ya ishirini nyuma.
Enzi za mwalimu,kamanda wa Polisi mkoa ,au biss wa TRA ya enzi zile ikiitwa f9ridha angeshamuhoji huyu anayejiita Chief Goodlove.
Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu
wanadanganyika na maisha feki ya mitandaoni.ANgekuwa na hizo hela kweli unahisi wangemwacha?,.
Usitishwe na kelele za mtandaoni
Kwakweliwanadanganyika na maisha feki ya mitandaoni.
Mawazo ya kijima sana haya.Watu kama hao ni hatari kwa uchumi maana wanafanya vijana wasipambane kujenga uchumi wakidhani hela hupatikana kirahisi rahisi tu
kingilio 150k akipata wajinga 10,000 anapata 1.5 billion just imagineAnawachangisha hela watu wajiunge kwenye group la whatsap,akufundishe namna ya kuwa tajiri ๐
Nchi hii ina wapumbav sana +media zote wapmbv wana support ujinga na watu kupigwa
Naona sahv watu dizaini hyo wanamsifia sana mama saa100 pia
Ova
Hakuna kosa hapo,ila kumbuka DeCI na yule jamaa wa kuku na MR Manguruwe walikamatwaWamkamate kwa kosa gani??
Polisi na TRA hawatakiwi kufanya kazi kama wapiga ramli tu.
Hakika1. Sio kama nina wivu bali.......
2. Mimi si mbaguzi ila ......
3. Sio kwamba nakutukana ila......
4. Mimi sio mchoyo ila..........
5. Sio kwamba nina roho mbaya bali.........
Ukiona mtu kaanza na kauli kama hizo jua ana hiyo tabia anayojaribu kusema hana hii ni ili akuandae kisaikolojia kupokea matusi, kauli za kibaguzi n.k
Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi.