Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Dereva wa serikali akishaendesha gari la serikali anahisi nayeye ni serikali.Wapuuzi sana baadhi ya madereva serikalini, leo asubuhi Kuna gari ya serikali ilifanya overtaking sehemu hatarishi kabisa [emoji35]
Hapo Morogoro askari akienda tu akili zinamuisha.Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu.
Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa Serikalini kuacha kuvunja Sheria za barabarani kwa makusudi jambo ambalo linahatarisha usalama wa maisha, mali na miundombinu ya barabara.
Aidha, SSP Zauda amesema sababu nyinginze zinazosababisha ajali za barabarani ni sababu za kibinaadamu, ubovu wa magari na changamoto za miundombinu za barabara.
tatizo hakuna wa kuwatoza faini polisi wakiona gali lenye namba za serikali wanajifichaMkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu.