Polisi, CHADEMA sasa wafika pabaya. CHADEMA waanza kuwindwa kama wahalifu (Video)

Hilo jamaa baada ya kuona corona haijafanya kile lilichokuwa linaombea basi limebaki kama toto lililokosa malezi. Ni moja ya majitu niliyoyapuuza humu jf
Unataka tukuletee habari za Corona? Subiri toa muda siku ikipiga pale tunapopataka tutakuletea! Wewe vita subira maana lazima lije la kuja! Tunza hii post.
 
Subirini siku wananchi wakichoka ,ndio mtajua mungu was ccm Nyamrunda anasaidia au hasaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…