Polisi, chawa, CCM kindakindaki waunga mkono ushenzi wa serikali. Wasanii na Serikali msipokubali mlikosea kuna rangi nyekundu mtaona

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Amani wanayotaka hawa watawala naona imekuwa sio amani kwa sasa,maana naona ijumaa jirani yangu ni polisi na mtu wadini anaelwa kuwa na AKILI za kikatili za NAZ toka ujerumani kaanza kuniogopa wakati sina cheo wala mambo ya serikali ajira.

Mtaani kwa sasaniliowataja hapo juu ni kwamba wanahisi kutaja watu wapewe kesi za uhaini na wengine wapotweze baada kuisha maandamano wazani ni kwamba wametatua uhuru wao.

Kuna jambo linakuja kutokea kubwa sasa kwa taarifa vyombo vya habari kutangaza vimekatazwa kuonesha kama tanzania kulikua hakuna vurugu.

Tutajua maana neno Ugaidi ilikuwa ina maanisha nini kwa watawala washenzi.
 
Father wana ccm huku kitaa wanaishi kama digidigi maskini!
 
Maadui wa jamii kwasasa ni
1. Ccm
2. Polisi
3.madiwaniccm
4.wabungeccm
5.inec
Kama umewapangisha hao watu fukuza wape notisi.
 
Matukio ni mengi ambayo list kwa sasa sijui hata sokoni wanaweza kuonekana
 
Wamekama vijana zaidi ya 100 wakiwatuhumu uhaini. Hao vijana wastani wana ndugu 20. Acha marafiki acha jamaa.

Yakitokea maandamano kushinikiza waachiwe wanamlaumu Mange Kimambi.

Kwanini mnawapa sababu vijana wazidi kuandamana?

Vijana wanaamini kuwaacha hao watu ndani ni kama kuwasiliti.
 
Nimesema hii kitu ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom