Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ndio wanawatuma policcm wafanye hayo maovu......hakuna kitu hapo tunajua .....anatawala mkono chuma na kumwaga damuuuUongozi wa Jeshi la polisi nao ufumuliwe Rais asiishie kwa Waziri tu,Wananchi hawana imani na Jeshi la Polisi.
Ukweli lazima usemweTumefikia huko jamani
Mfanyabiashara ,itakuwa mambo ya mabizness
Ova
Hata nilitaka kusema hivyo. Unajua polisi nao hawaaminiki sasa hivi hata kama siyo hao hawajateka lakini wananchi wameshajenga imani ni wao. Matukio mengine ya utekaji ni wivu wa mapenzi na kudhulumiana.Mfanyabiashara ,itakuwa mambo ya mabizness
Ova
Alafu mbona rahisi kujuaYaani wananchi sisi ndo tutoe taarifa?,
mmeshindwa kuwatafuta wale waliyempigia simu?