Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

Vuneni mlichopanda. Kipindi kile tunawaambia jamani Dkt Magufuli ni mtu mwema hajawahi kuangiza utekaji wala mauaji, ila mkashupaza shingo mpaka kufanya sherehe ya kifo chake mkajisemea eti utekaji na watu kupotea sasa mwisho hahaha, hao magaidi wapo na hawana kabisa uhusiano na serikali ila ni wahuni fulani.
 
Alafu mbona rahisi kujua
Polisi wachunguze je jamaa alifika kwenye hiyo bandari kavu na kama alifika na kama alifika kuingia ndani bandari kavu lazima asign getini na kuonesha kitambulisho
Na hapo mbagala nyuma ya dar live mitaa hyo kuna bandari kavu moja ya ATC
Wakimkosa kwenye hiyo labda jamaa kapata ajali ya hyo boda hakufika safari yake wazungukie kila hispitali wamuangaliee

Ova
Kwenye dunia ya utandawazi polisi wetu wapo.nyuma sana. Mpaka unashangaa.
 
TRA TANZANIA , Tunahitaji ufafanuzi Nini kinaendelea kwenye korido zenu
Labda kwenye ukaguzi TRA wameona kwenye mzigo wake kuna vitu wameona syo sawa ndy wakamuita
Kama alitumia agent wake ,hakuwa na maelezo ya kutosha

Ova
 
Watakujibu yeye ndio alianzisha
Tumeshawasikia ni wajinga sana. Kwanza wana dharau mamlaka utadhani siku wakichukua nchi watatengeneza vyombo vyao vya ulinzi na usalama.
 
Labda kwenye ukaguzi TRA wameona kwenye mzigo wake kuna vitu wameona syo sawa ndy wakamuita
Kama alitumia agent wake ,hakuwa na maelezo ya kutosha

Ova
Unamaanisha itakua jamaa Bado anahojiwa na tra mpaka Sasa?
 
Vuneni mlichopanda. Kipindi kile tunawaambia jamani Dkt Magufuli ni mtu mwema hajawahi kuangiza utekaji wala mauaji, ila mkashupaza shingo mpaka kufanya sherehe ya kifo chake mkajisemea eti utekaji na watu kupotea sasa mwisho hahaha, hao magaidi wapo na hawana kabisa uhusiano na serikali ila ni wahuni fulani.
Jiwe hakuwai kuwa mwema, shetani anaweza kuwa mwema ila sio jiwe
 
Hiyo ndio imetoka. Hataonekana wala kusikika. Ndio maana ule msiba WA 'TRA' ulikuwa Mkubwa Sana. MUNGU awape uvumilivu wenye ndugu Yao. Huyu kajipeleka mwenyewe kwenye mdomo WA chatu😔😔
 
Jiwe hakuwai kuwa mwema, shetani anaweza kuwa mwema ila sio jiwe
Kwa ujinga wako huu ndiyo maana mambo mabaya yanaendelea na wahuni wanatumia huu ujinga wako kuendelea kuruhusu vitu vya ovyo kutokea. Na aliyekudanganya kuhusu Dkt Magufuli kwa kumuita eti jiwe ni mjinga na wewe ni mpumbavu na mjinga mjinga fulani usiyekuwa na akili kichwani, kwanza mie anayemuita Dkt Magufuli jiwe huwa naona ana upungufu wa akili na ni mwehu tu. Tujifunze kuheshimu watu. Na ndiyo maana unaona mbowe au lisu hawajeshimiki kabisa mitaani kwa sababu ya kuleta dharau kwa viongozi wetu wa CCM.
 
Magufuli ye mwenyewe ndio alijiita kuwa yeye ni jiwe,yeye ni kiongozi wa Malaika mbinguni,kwamba Mungu atakaa pembeni malaika watafuata amri yake,,

Mungu amsamehe uenda akujua asemalo
 
Back
Top Bottom