MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Sasa dogo hizi ni dharao...UNAIDHARAU JAMHURI???!!!!..dakika 10 chap tuko hapo,.....ukituona tafadhali jilete mwenyewe. Tuko njiani..tunatoka kituoni sasa hivi. Hiki kituo jirani na Hospital ya Mkoa.Wew njoo mkuu tutajuana ukiwa hapa
Unaidharau Jamhuri???!!!....hivi wewe unaakili kweli wewe? Umepimwa akili hapo kwanza ulipo? Au umelogwa? Kalamu ya CELLO inakuhusu leo,...tulia hivyo hivyo tunakuja....we si kidume bana...unatafuta Kick jf....Sawa tutaona kama JF itakuja kukutoa au hata kukudhamini.Wahini mwendo wa ngiri
Tulia, ...si umesema chang'ombe stand...tulia wanaume tunakuja. Famchezo !Mbona hamtokei
Kwa ground hari ni ngumu,ni katika kutafuta pesa ya ziada,maisha yaendeWakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
Pande zipi? Ushatuona?Mbona hamtokei