Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Huyu raia yeye alifanya kosa gani mpaka kukutwa na masaibu yote haya? Nafikiri ili police wapo humu na watalionaPolisi jijini Dodoma wanadaiwa kumfanyia vitendo vya ukatili dereva wa bodaboda kwa kumuingiza mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na kumsababishia majeraha.
Dereva huyo wa bodaboda ambaye pia ni mcheza muziki, Ally Bakari (21) mkazi wa Kata ya Mkonze amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, General kwa ajili ya matibabu.
Bakari alidai kufanyiwa ukatili huo kwa kupigwa, kunyofolewa rasta, kuteswa na kutobolewa utumbo kwa kuingizwa mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na watu aliodai ni polisi.
View attachment 1940568
Hii kwa Tanzania ni very big news and shame kubwa Sana kwa polisi wa Tanzania, believe me hao polisi watashughulikiwa haraka Sana Kama ni kweli, hiyo ndio tofauti Kati ya Kenya na Tanzania.joto la jiwe kuja hapa. Huwa unadai kuwa polisi wenu ni wazuri kama malaika.
Hakuna kosa ambalo adhabu yake ni kutendwa unyama kama huo ndani ya katiba Tanzania. Stop being stupid.Huyu raia yeye alifanya kosa gani mpaka kukutwa na masaibu yote haya? Nafikiri ili police wapo humu na wataliona
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yangu hajaalalisha uwo unyama aliofanyiwa!!! Kuwa na akili wewe..... Nimeuliza alifanya kosa gani kama hujui kosa lake kaa kimyaHakuna kosa ambalo adhabu yake ni kutendwa unyama kama huo ndani ya katiba Tanzania. Stop being stupid.
Polisi ni wa CCMPolisi jijini Dodoma wanadaiwa kumfanyia vitendo vya ukatili dereva wa bodaboda kwa kumuingiza mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na kumsababishia majeraha.
Dereva huyo wa bodaboda ambaye pia ni mcheza muziki, Ally Bakari (21) mkazi wa Kata ya Mkonze amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, General kwa ajili ya matibabu.
Bakari alidai kufanyiwa ukatili huo kwa kupigwa, kunyofolewa rasta, kuteswa na kutobolewa utumbo kwa kuingizwa mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na watu aliodai ni polisi.
View attachment 1940568
RPC na mamlaka zingine shughulikieni hili Ili haki itendekePolisi jijini Dodoma wanadaiwa kumfanyia vitendo vya ukatili dereva wa bodaboda kwa kumuingiza mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na kumsababishia majeraha.
Dereva huyo wa bodaboda ambaye pia ni mcheza muziki, Ally Bakari (21) mkazi wa Kata ya Mkonze amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, General kwa ajili ya matibabu.
Bakari alidai kufanyiwa ukatili huo kwa kupigwa, kunyofolewa rasta, kuteswa na kutobolewa utumbo kwa kuingizwa mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na watu aliodai ni polisi.
View attachment 1940568
Hawa dawa yao ni kina Kibatala mahakamaniPolisi jijini Dodoma wanadaiwa kumfanyia vitendo vya ukatili dereva wa bodaboda kwa kumuingiza mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na kumsababishia majeraha.
Dereva huyo wa bodaboda ambaye pia ni mcheza muziki, Ally Bakari (21) mkazi wa Kata ya Mkonze amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, General kwa ajili ya matibabu.
Bakari alidai kufanyiwa ukatili huo kwa kupigwa, kunyofolewa rasta, kuteswa na kutobolewa utumbo kwa kuingizwa mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na watu aliodai ni polisi.
View attachment 1940568
Ni mambwa..tatizo ni elimu. Tanzania ni one of the worst countries zenye mfumo wa ovyo wa elimu Afrika.joto la jiwe kuja hapa. Huwa unadai kuwa polisi wenu ni wazuri kama malaika.
You are still dummy kwa utetezi wako, huna hoja kwa ulichouliza mwanzo. Just accept you are an arse!Maneno yangu hajaalalisha uwo unyama aliofanyiwa!!! Kuwa na akili wewe..... Nimeuliza alifanya kosa gani kama hujui kosa lake kaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
It's obvious that you are a completely ARSE HOLE.Maneno yangu hajaalalisha uwo unyama aliofanyiwa!!! Kuwa na akili wewe..... Nimeuliza alifanya kosa gani kama hujui kosa lake kaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app