joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hakuna kitu Kama hicho kinaweza tokea Tanzania, usilazimishe ujinga wenu huko Kenya nao utokee Tanzania, hatulingani hata kidogo, police ya Tanzania ni miongoni mwa highly disciplined in Africa, while polisi wenu wanaongoza kwa brutality & killings Africa nzimaAaargghhh!!! Hovyoo sana halafu utakuta watalindana, mapolisi yaani.
Kuna video nyingine inatrend polisi sijui ni Tanga, huingia kwenye vilabu na kujichukulia mwanamke yeyote wanayemtaka hata kama ametoka na mpenzie, yaani wanakukuta umekaa na mpenzi wako mnapata viburudisho wanamchukua kibabe na kwenda naye kwa defenda, wanamfanyia yao na kumuacha.