Polisi Dodoma Wanadaiwa Kumfanyia Vitendo Vya Ukatili Dereva Wa Bodaboda

Hakuna kitu Kama hicho kinaweza tokea Tanzania, usilazimishe ujinga wenu huko Kenya nao utokee Tanzania, hatulingani hata kidogo, police ya Tanzania ni miongoni mwa highly disciplined in Africa, while polisi wenu wanaongoza kwa brutality & killings Africa nzima
 
Hawa dawa yao ni kina Kibatala mahakamani
Hivi huwa mnamuelewa kibatala ile mbinu atumiayo! si lazima kila shahidi hawe msomi wa sheria kwahiyo maswali aliyokuwa akiuliza kibatala ni mbinu tu yakumtoa shahidi relini hakuna kibaya pale,yule Kingai yupo timamu sema kwavilie hii nchi ni ya mapunguani acha tu tumpe sifa huyo 'Kibatali'
 
Me ndo maana nasema police
Walaaniwe Tu hao n humbwa kabisa
 
Acha ujinga ww Kama ww house boy
Ustake sisiwote tuwe wafanyakaz wa ndan
Kama ww

Hyo habar n ya kweli na imeripotiwa Sana
Hata mamlaka za tanga zilisema kabisa
Zmeona hyo kitu wanalifanyia uchunguz

Police wa Africa n Zaid ya ng'ombe
Hata ng'ombe hua ana akili yani
 
Wewe pimbi nini?, leta ushahidi Kama hilo Jambo limetokea zaidi ya maneno ya mitandaoni yanayochagizwa na watu wajinga Kama wewe, tupe ripoti ya huo uchunguzi unaodai Kama ulibaini kwamba hilo Jambo lilifanyika kweli. Ingia google uone ranking ya Polisi wa Tanzania, japo sio perfect like ni miongoni mwa polisi Bora hapa Africa, taja ni lini kwa mara ya mwisho umesikia ukatili wa polisi wa Tanzania na ulinganishe na Kenya.
 
Mchele utabaki kuwa mchele tu, hata ukita ka kwenda kupika biriani dukani bei ile ile tu
 
Duh, hao polisi watakuwa masen..., hadi kufikichua jicho la dume kwa fagio, mmae! 🤦🏾‍♂️
 
Oya bro, afadhali kufa kwa risasi lakini si kut... miti ile sehemu! 🤣 Hebu wacheni unyama!
 
Duh, matokeo ndiyo yale ya Hamza the gunman! Hata wewe utakubali kudhalilishwa na mafala eti sababu wana mamlaka? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…