Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amepiga marufuku Disko toto katika kumbi zote za starehe jijini humo, siku ya sikukuu ya Eid Al Adha itakayoadhimishwa keshokutwa Jumatano. Amesema, wamejipanga vyema kuimarisha usalama siku hiyo.
Amewataka wazazi kuwa makini na watoto wao katika kipindi hiki cha sikukuu hasa wanaokwenda katika maeneo ya starehe kama sehemu za kuogelea Kamanda wa Polisi Muliro amesema jeshi hilo litahakikisha kuna kuwa na utulivu.