Askari ambaye siyo feki atakuwa amevaa namba yake ya kazi, kwenye shati lake kama anavyooneka Kova. Siku zote ukisimamishwa na askari bila kuvaa hiyo namba, chukua picha yake kama una simu yenye kamera na undoka zako, hakika hawezi kukufanya lolote bila ya kuvaa force number yenye jina lake.