Polisi feki adakwa

Polisi feki adakwa

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027


Duh.. sasa utajuaje kama ni feki?
 
Last edited by a moderator:
Mcharaze kibao uone 'response' yake!:doh:
 
GIVE HIM ONE MOORE CHANCE.

Au kwa sababu kijana siyo mwanachama wa CCM?

Ila naona ndani ana T-shirt ya NJANO.
 


Duh.. sasa utajuaje kama ni feki?


Askari ambaye siyo feki atakuwa amevaa namba yake ya kazi, kwenye shati lake kama anavyooneka Kova. Siku zote ukisimamishwa na askari bila kuvaa hiyo namba, chukua picha yake kama una simu yenye kamera na undoka zako, hakika hawezi kukufanya lolote bila ya kuvaa force number yenye jina lake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom