Polisi: Gari la kituo cha Gogoni halihusiki na utekaji wa Abdul Nondo

Lingekuwa jambo jema wangeweka picha ya gari wanalodai ndilo lililotumika.
 
Inahitaji akili za kitaahira kuliamini jeshi la polisi
 
Natamani siku moja itokee walau ajali,ihusishe magari kama kumi ya polisi..wafe wote ili walau wapate uchungu tunaopata sisi kwa madhila yao.
 
Polisi kwenye hii nchi wanatumiwa vibaya sana na wanasiasa!! Ona sababu wanazotoa zilivyo kosa mashiko!!
Halafu hii ni mara ya pili hicho kituo cha polisi cha Gogoni kinahusishwa na vitendo vya utekaji. Kipindi cha nyuma ilikuwa ni Stakishari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…