tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
Tuanze na wamiliki wa genge la watekaji na wauaji linalomilikiwa na mtoto wa Mama. Bado kijana yule hajazeeka mboni hawamkamati yeye na watekaji wengine waliopo kwenye ofisi za vituo vyao vya polisi wanawajua hawajazeeka kwanini wasianze na hao?Hata mkizeeka wavunja sheria ipo siku 🫵