Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata mkizeeka wavunja sheria ipo siku 🫵
 
Na wao wajue jinai haiozi.... Hizi damu za kina Mdude, Soka et al, watazilipa siku moja.

Kuna watu walikuwa wanalinda matanuri ya moto mwaka 1945, leo wanapelekwa mahakamani na Machela
 
Hata mkizeeka wavunja sheria ipo siku 🫵
Tuanze na wamiliki wa genge la watekaji na wauaji linalomilikiwa na mtoto wa Mama. Bado kijana yule hajazeeka mboni hawamkamati yeye na watekaji wengine waliopo kwenye ofisi za vituo vyao vya polisi wanawajua hawajazeeka kwanini wasianze na hao?
 
Serikali ikibadilika na ikawa ya mseto lakini ikaongozwa na CHADEMA nadhani Raisi Tundu Lissu atatoa misamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…