Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo.
Kujisahihisha na kujirekebisha siyo dhambi
- Liache na kujitenga kutumika kisiasa
- Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda
- Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa)
- Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti uhalifu
- (Msomaji endeleza orodha)
Kujisahihisha na kujirekebisha siyo dhambi