Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jan 29, 2024 #1 Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa) Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti uhalifu (Msomaji endeleza orodha) Kujisahihisha na kujirekebisha siyo dhambi
Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa) Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti uhalifu (Msomaji endeleza orodha) Kujisahihisha na kujirekebisha siyo dhambi