Kina nape walisema hivyo hivyo
Hupitwi!!!!!?Huyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
Ashughulikiwe tu !!!!...Huyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
Ashughulikiwe tu !!!!...
Unapata faida gani mkuu maana kila thread inaonekana unafurahia sana kuwekwa kwake ndani
Siwezi kuwa na mahaba na kiumbe mwenye kudare kumdhihaki mkuu wa nchi, tena wamweke kwa watukutu wapumlie kisogoni kabisa akitoka huko aseme kama Tundu Lissu kwamba "jail sio kuzuri".
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kisingizio cha kuigiza
Kuigiza kwenywe hajui
Akawafanyie comedy wazazi wake
Hahahaha ungeweza kumsujudia muumba wa mbingu na nchi kama hivi hakika ungekuwa kiumbe makini sana sio mkamilifu hapana maana ukamilifu ni wa Mungu tu ajabu ni kwamba huyo mwanadamu unaemsujudia nae anampigia goti Mungu na ana makandokando tele anaomba msamaha kwa Muumba.Siwezi kuwa na mahaba na kiumbe mwenye kudare kumdhihaki mkuu wa nchi, tena wamweke kwa watukutu wapumlie kisogoni kabisa akitoka huko aseme kama Tundu Lissu kwamba "jail sio kuzuri".
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuwa na mahaba na kiumbe mwenye kudare kumdhihaki mkuu wa nchi, tena wamweke kwa watukutu wapumlie kisogoni kabisa akitoka huko aseme kama Tundu Lissu kwamba "jail sio kuzuri".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanatofautiana nini? Nape alichofanya kilikuwa ni insubordination, alitaka kupimana ubavu na mkuu wa nchi, haiwezekani Rais aseme chapa kazi afu we uunde tume ya kuchunguza, tena alipaswa kufukuzwa kabisa ndani ya chama na si uwaziri tu.Kina nape walisema hivyo hivyo
Idris ni smart guy na siamini ni mjinga kiasi cha kuweka hustle zake kwenye risk kijinga. Ukimuangalia juu juu unaweza kumuona mpuuzi ila kuna mazingira anayatengeneza kwa ajili ya kitu kikubwa in the futureKijana ndoto zake zinapotezwa hivi hivi. Haki itendeke huenda yote aliyotuhumiwa kusiwe na kosa
Sent using Jamii Forums mobile app