Haki gani unazungumzia ndugu yangu...hiyo ndiyo haki yenyewe anayopataKijana ndoto zake zinapotezwa hivi hivi. Haki itendeke huenda yote aliyotuhumiwa kusiwe na kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki gani unazungumzia ndugu yangu...hiyo ndiyo haki yenyewe anayopataKijana ndoto zake zinapotezwa hivi hivi. Haki itendeke huenda yote aliyotuhumiwa kusiwe na kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeyakubali matumizi yako ya akili katika reply yako na kwa hilo nimekupa na like mkuuNdio mnavyojidanganya kwenye vijiwe vyenu mnakolishana ujinga
OkSimjui huyo kijana I don't concentrate on stupid people like that
Tanzania kuna endorsement gani? Km kuna kampuni inaenda kuweka image yake kwa yule kijana basi ni makampuni haya ya kupeana Kwasababu tunafahamiana
Jifanye mwema sana, walikuwepo wafia chama kina Kinana sasa hv wamenyoishwa, wewe ni nani hadi usinyooshwe? Jst a matter of time!!
We mwehu mamlaka ipi imetoka kwa Mungu labda kwa mungu sio Mungu hii mamlaka ya kununua wa bunge ndio imetoka kwenye mamlaka? Mbona kichwani umejaza upumbavu kama wa jecha?Mpumbavu wewe Mungu hapepelewi, maandiko yanatushurutisha kuzitii mamlaka maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, kama kutii ni kuogopa acha iwe hivyo ili nitimize agizo la Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kupikwa na kupakuliwa?Ndio Mkuu kuliko hata wanaokulea
Unataka kupikwa na kupakuliwa?
Leo..Umejinadi kujua kutenganisha comedy na kudhalilisha.
Nimekuuliza, unajua "roast" ni nini?
Unauliza muktadha.
Nakuuliza tena, unajua "roast" katika muktadha wa comedy ni nini?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tatizo la wengi ni udogo wa mawazo na uzoefu finyu wa kidunia.Leo..
Bia yetu...mpambano...iwe bia yao au bia yenu!
Kiranga....
Tatizo la wengi ni udogo wa mawazo na uzoefu finyu wa kidunia.
Mtu anajitapa kuongelea comedy, wakati hajui roast katika comedy ni nini!
Kujadiliana naye kuhusu comedy ni sawa na kujadiliana na mtu kuhusu movies wakati wewe unazungumzia movies za dunia nzima, yeye uzoefu wake umeishia Bongo movie tu, hajawahi kuona movie yoyote ya nje.
Sasa hapo hata lugha tu ya kujadiliana lazima iwe mgogoro.
Tatizo hii bia, wakati hizi levels za Scotch Whisky.Kwa hapo..hii bia haiwezi kukulevya kiranga..
Mahaba yakizidi ni shida..matokeo ni kuchanganya..sheria.
mila..tamaduni ..mitizamo..sifa..ubabe..nk ! kuunda kesi moja!
Shidaaa...