Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Mabeberu pia tungewaona wa maana km wasingekuja Africa kuchuma madini kwenda kutengenezea hizi simu
Wasingetulazimisha tutumie doller kama kweli hawamuhitaji mwafrica
Mkuu Inawezekana kabisa umekuwa brainwashed unahisi Mabeberu ndio kila kitu
Ila kitu kimoja tambua kuwa kila mtu anamtegemea mwenzake na inawezekana kabisa Mabeberu tanatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyowahitaji wao
Vile viwanda vyao havina thamani bila soko la dunia
Nakuhakikishia tukijitenga na Mabeberu ndani ya miaka ishirini lazima tupige hatua hata km tutaumia kwa huo muda
Yaani watu wamaotengeneza migogoro ili wakauze silaha unawaona watu waliokamilika?

Ningekuona wa maana zaidi kama ungekuwa unaandika haya maneno kwenye internet yako, ambayo haijaanzishwa na mabeberu.
Ukitumia herufi zenu, si za kuazima kwa watu...