kwa nini unafuatilia comedy zake si uende kwenye pages zinazokuchekesha. Pole kwa njaa, maana unaonekana umetype kwa chuki sanaHuyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
kwa nini unafuatilia comedy zake si uende kwenye pages zinazokuchekesha. Pole kwa njaa, maana unaonekana umetype kwa chuki sana
Akibaki huko itakusaidia vipi wewe kujikwamua kutoka kuishi kwa mume wa mdogo wako wa kike?Huyu akae kule wasimuachie
Shida ya huyo kijana baada ya kupata fedha ya Bba amekuwa na kiburi sana, adabu hana huwezi kumcheka mtu mzima kama yule tena Rais wa nchi. Asipo mheshimu kwa cheo cheka cha urais basi angalau hamheshimu kwa umri wake tu.Alishawahi kumcheka BABA yake??? Au MAMA yake? tena hadharani vile? Kuna muda lazima tuwe na adabu. yeye mbona alikua anafanya maonyesho ya kuvaa chupi? Watoto wake au wajukuu wake watamcheka pia....
Huwaga hamuoni aibu hata mara moja kusupport ujinga?
Huwa mnajiona mpo safe sana kwa kuwa ni wapiga zumari wa CCM ?
I'll be back
Kwani wewe unajitambua?Huyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
Ujinga ni nini?Aliyekamatwa ni mjinga anastahili kuwa kule
Hata mimi naona jamaa sio comedian lakini kama kuna watu anawachekesha. Mimi ni nani hadi nianze kumuamlia ni nini afanye na maisha yake much less wewe
Kwa kifupi huwezi taja celebrities watano Tanzania ambao wapo endorsed na makampuni ukamuacha idris.
Sasa kama mtu huyu ambae unadhani anasaka umaarufu ambao "HANA", inakuwaje department za makampuni na mashirika makubwa kama UBER wamuamini kupromote brand yao
cajabu huyo unayemuona hajitambui anamaisha mazur kuliko yako wacha wivu wakike wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninavyojua kisheria mtu anapaswa kupelekwa mahakamani ndani ya masaa 72, hii vipi?
Akibaki huko itakusaidia vipi wewe kujikwamua kutoka kuishi kwa mume wa mdogo wako wa kike?
Kwani wewe unajitambua?