Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

Mkuu unachotaka ni nini?

Nimekwambia alichofanya huyo kijana sio comedy ni udhalilishaji

Still reapiting the same question!
Why

Then unaizingumzia roast katika mkitadha gani?
Umejinadi kujua kutenganisha comedy na kudhalilisha.

Nimekuuliza, unajua "roast" ni nini?

Unauliza muktadha.

Nakuuliza tena, unajua "roast" katika muktadha wa comedy ni nini?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Pamoja na Technology yote tuliyonayo karne hii ya 21 bado Kuna vitu hatuwezi jifunza kabisa hivi zile meme anazofanyiwa Trump na kutukanwa angewafunga wangapi mpaka sasa lakini anaona ni vitu vya kipuuzi tu kwake nashangaa huku kwetu unavizingatia kweli yani [emoji17]
 
Hakuna Sehemu nimejinadi ila nimeandika uhalisia
Ni kweli comedy na kudhalilisha haziwezi kuwa kwenye kikapu kimoja otherwise una interests binafsi

Kuhusu roast sijui
Umejinadi kujua kutenganisha comedy na kudhalilisha...
 
Mnyoosheni kabisa, akili zimkae sawa, Idris amekuwa so arrogant
 
Huwezi kuwaiga Wazungu hata kwa mambo ya kijinga
Hao Wazungu wanaruhusu ushoga Unataka na Tanzania tuwaige?

Hapa hakuna excuse huyo kijana efanya ujinga anastahili anachopata
Pamoja na Technology yote tuliyonayo karne hii ya 21 bado Kuna vitu hatuwezi jifunza kabisa hivi zile meme anazofanyiwa Trump na kutukanwa angewafunga wangapi mpaka sasa lakini anaona ni vitu vya kipuuzi tu kwake nashangaa huku kwetu unavizingatia kweli yani [emoji17]
 
Kuna wasaliti na mafisadi kwenye nchi kuwazidi nyinyi MATAGA ?
Kama kuwanyoosha mabwana zenu mabeberu ni usaliti wacha tuwe wasaliti, kama Rais kushusha mshahara wake kutoka kwa 15,000 USD za aliyemtangulia hadi 4,000 USD ni ufisadi basi acha awe fisadi, the majority tunaona na tutamzawadia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Sehemu nimejinadi ila nimeandika uhalisia
Ni kweli comedy na kudhalilisha haziwezi kuwa kwenye kikapu kimoja otherwise una interests binafsi

Kuhusu roast sijui
Sasa kama hujui roast ni nini katika comedy, hujui comedy.

Na kama hujui comedy na unashupalia kuongelea kutenganisha udhalilishaji na comedy, unaongelea vitu usivyovijua.

Tatizo unaangalia mambo kibongobongo.

Ni kama vile unataka tujadili movies kwa kuishia Bongo movie.

Mimi najadili movies za dunia nzima, wewe unajadili movies kwa kuangalia Bongo movie tu.

Ndiyo maana nakuuliza unajua roast ni nini katika comedy, hujui.

Of course hatuwezi kuelewana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wale watetezi wekeni na nyie video zenu twitter au insta mkicheka picha ya JPM in solidarity kama mna ubavu. I double dare any of you to do so.
 
Mnyoosheni kabisa, akili zimkae sawa, Idris amekuwa so arrogant
Hajampita Magufuli kwa arrogance.

Na ukishangikia leo wamnyooshe bika kujua wanajenga mazingira ya kukunyemelea wewe, utakuwa na ukosefu wa uwezo wa kufikiri.

Martin Niemöller, the German Nazi era seminarian, is perhaps best remembered for the quotation :

First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.
Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.



Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kwanza tambua huwezi kujua kila kitu

Kitu cha pili kujadili kwa ku reflects mazingira ya kitanzania ndio safi Kwasababu ndiko Watanzania asilimia kubwa tunaishi

Hatuwezi kuhalalisha ujinga wa huyo kijana kumdhalilisha kiongozi eti Kwasababu Mabeberu yana kawaida ya kudhalilisha viongozi wao hiyo haikubaliki

Unaposema naangalia movies za kitanzania unamaanisha nini?
Sasa kama hujui roast ni nini katika comedy, hujui comedy.

Na kama hujui comedy na unashupalia kuongelea kutenganisha udhalilishaji na comedy, unaongelea vitu usivyovijua.

Tatizo unaangalia mambo kibongobongo.

Ni kama vile unataka tujadili movies kwa kuishia Bongo movie.

Mimi najadili movies za dunia nzima, wewe unajadili movies kwa kuangalia Bongo movie tu.

Ndiyo maana nakuuliza unajua roast ni nini katika comedy, hujui.

Of course hatuwezi kuelewana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Huwezi kuwaiga Wazungu hata kwa mambo ya kijinga
Hao Wazungu wanaruhusu ushoga Unataka na Tanzania tuwaige?

Hapa hakuna excuse huyo kijana efanya ujinga anastahili anachopata
Usiniambie kuwa ww huwaigi wazungu utakuwa unajidanganya mwenye!

Pili kuiga wazungu sio kosa mangapi mazuri tunayaiga kutoka kwako na nakujifunza? Usiseme mabaya tu angalia na mazuri yako

Tatu lazima tukubali kuwa sheria za mitandaoni bado zinamapungufu mengi tu wengi tunafanya makosa bila kujua hata hizi sheria watu walikurupuka kutunga.
 
Kwanza tambua huwezi kujua kila kitu

Kitu cha pili kujadili kwa ku reflects mazingira ya kitanzania ndio safi Kwasababu ndiko Watanzania asilimia kubwa tunaishi...
Ningekuona wa maana zaidi kama ungekuwa unaandika haya maneno kwenye internet yako, ambayo haijaanzishwa na mabeberu.

Ukitumia herufi zenu, si za kuazima kwa watu.

Sasa hivi unaonekana hujitambui unasimamia wapi.

Unatumia internet ya mabeberu, kuwakashifu mabeberu.

Waswahili walisema.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom