Polisi imewachalaza viboko wale madada wa baikoko

Polisi imewachalaza viboko wale madada wa baikoko

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Kulikuwepo kikundi cha wasichana walikua wakikatika viuno barabarani huku wakiwa uchi.Ilikua maeneo ya Mbagala,polisi wakawakamata na kuwapeleka kituo cha Maturubai wakachalazwa viboko kwa kosa la kucheza uchi mbele ya watoto.

Walishikiliwa kama nusu saa wakaachiwa.

View attachment 117324
mia
 
Uswazi ni kawaida sana,wengine wanapita barabarani na kuanza kukata mauno,safi sana polisi.
 
i wish ningekuwepo hapo najua ningekuwa nimeongeza siku moja ya kuishi kwa kucheka.
 
bora walivyochapwa tu..kule Magomeni nako ndio mtindo mmoja

kanga Moko wanajimwagia na maji..watoto zao wako hapo hapo Pumbaf zao
 
wange wakunguta viboko na naniliu c walikuwa wanakata mauno wanasaka wanaume wawafiligise watandike na viboko ! ikibd wawapeleke kule segerea na wafungwa nao wapate promoshen wanaukame kule,mijitu inakaa nyuchi waz barabarani pambav zao
 
Sawa bora wawapigwe tu. Wanawafundisha nini watoto sasa? Arifee.
 
ingekua usiku polisi wangejisevia OVER.
 
Uswazi tushazoea sana hayo mambo.. poleni kwa ambao hamjazoea
 
Usiwashangae polisi, shangaa raia ambao wanaona ni sawa polisi kukamata watu na kutandika viboko. Wamekuwa washtaki na mahakimu wao wenyewe? Uonevu huo, kama wamevunja sheria wapelekwe mahakamani.
Polisi wa bongo bana!
 
sipati cheka nikasahau jinsi walivyokimbia baada ya kuachiwa ilikuwa hiviii.
 

Attachments

  • 1382178223734.jpg
    1382178223734.jpg
    125.5 KB · Views: 816
Tatizo la jamii yetu ni kushindwa kujua ni yepi ya hadharani na yepi ni ya faragha.

Wajipange na kutoa hizi huduma zao kwenye kumbi za starehe kwa mida ya usiku...sina shaka washabiki wa mambo hayo tupo wengi tu.......zaidi ni wanaume ingawa huwa naona kina dada nao hushiriki kupiga mbinja.

Kuna wakati nilikatiza mtaa fulani.....nikamkuta binti wa miaka kama mitano hivi ameweka mguu mmoja juu ya jiwe alafu anakatika mbele ya wenzake kama watatu hivi.........ingawa tunaambiwa mtoto wa mwenzio ni wako........lakini ningewaambia nini ?...sanasana vilipoona nashangaa sana vilikimbia.

Sidhani kama mzazi ukimkuta mwanao anakatika kwa mtindo huo utakuwa na amani................majanga.......
 
Na hao polisi kwa kuwakamata na kuwachapa na kuwaachia sijui wametatuaje tatizo.

Nadhani wangetoa elimu kwa mabinti hao....jinsi ya kutoa hiyo burudani yao maridhawa mahali panapohusika.
 
Back
Top Bottom