Polisi inamshikilia Joe McCann, Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee kwa mahojiano

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa zilizopita baada ya kukutwa amejinyonga katika chumba cha hoteli.

Akizungumzia tukio hilo leo April 14, 2026, Naibu Kamishna wa Polisi Zanzibar ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Zuberi Chembera amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo halisi cha kifo hicho, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya uchunguzi, huku mwili wa marehemu ukiendelea kufanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Lumumba, Mjini Unguja.

Akizungumzia tukio la kifo cha Ashly, Chembera ameeleza kuwa Uongozi wa Hoteli husika ulipokea taarifa kutoka kwa jirani wa chumba namba 24 aliyedai kusikia malumbano kutoka chumba namba 25 alichokuwa akitumia Ashly na mchumba wake, kutokana na hali hiyo, Uongozi uliamua kumhamishia McCann katika chumba kingine namba 65, kilicho umbali wa takribani dakika nane kwa miguu kutoka chumba cha awali.

Pamoja na hayo, taarifa zinaeleza kuwa kabla ya tukio, marehemu aliomba waya wa chaji kutoka kwa Mfanyakazi wa Hoteli kutokana na changamoto ya waya wake, Mfanyakazi huyo alielekezwa kurejea baada ya dakika 10, na alipofika alimkuta marehemu akiwa amejitundika kwa kutumia kamba ya nguo hali iliyopelekea kuwahishwa Hospitalini kabla ya kuthibitishwa kufariki dunia.

Katika hatua nyingine, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa chanzo cha kifo hicho ni kukabwa, akisema kuwa nyaraka hizo si rasmi na hazijatolewa na mamlaka husika, hivyo kusisistiza kuwa uchunguzi bado unaendelea, huku familia ya marehemu ikishirikishwa kikamilifu, ikiwemo kutuma Wawakilishi kutoka Taasisi ya Uchunguzi wa Vifo (Coroner) kwa kibali cha Ubalozi na Ndugu wa Familia

Pia soma: Polisi: Mwanamtandao Ashlee Jenae alifia Hospitali baada ya kukutwa amejinyonga
 
ATAMHOJI VIPI WAKATI HAWAJUI KIINGEREZA NA WOTE form 4 failures na std seven failures
 
Katika hatua nyingine, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa chanzo cha kifo hicho ni kukabwa, akisema kuwa nyaraka hizo si rasmi na hazijatolewa na mamlaka husika, hivyo kusisistiza kuwa uchunguzi bado unaendelea, huku familia ya marehemu ikishirikishwa kikamilifu, ikiwemo kutuma Wawakilishi kutoka Taasisi ya Uchunguzi wa Vifo (Coroner) kwa kibali cha Ubalozi na Ndugu wa Familia.
 
Back
Top Bottom