Polisi Isaka, Jimbo la Msalala - Kahama wawazuia CHADEMA kupandisha bendera wakiwa njiani kuelekea Dodoma

Polisi Isaka, Jimbo la Msalala - Kahama wawazuia CHADEMA kupandisha bendera wakiwa njiani kuelekea Dodoma

sheria na utaratibu kila kusanyiko lazima polisi wapewe taarifa ili wapeleke ulinzi , uwe wa hadharani au wa undercover itategemea na OCD anavyoona na aina ya wakusanyikaji, hivi unajua hata walimu tu waiwa na mkutano lazima OCD atume makachero kuhakikisha kila kitu kipo safi na kauli pale ni kuhusu walimu tu na si vinginevyo, tatu makanisani wapo na kwenye mahubiri ya hadhara wapo ndo maana kokote pale mchungaji akitoa kauli tata utashangaa polisi wanayo , na hawakuwepo wenye uniform , nchi yetu ina mfumo mzuri sana wa ulinzi ni hawa wanasiasa uchwara wanataka kutuvuruga ,
Wacha ujanja wako, makanisani makachero wanaenda kulinda maslahi ya mama, wala sio kufuatilia kauli tata zenye kuhatarisha amani ya nchi.

Mama yenu akipingwa siku hizi ni koda la jinai, ni uhaini, hiyo ndio kazi ya polisi ambao kiuhakisia ndio hao hao wanaoitwa wasiojulikana.

Unaposema kila kusanyiko lazima liwe na kibali ni uongo, huko masokoni, vituo vya daladala na kwingineko kuna polisi?

Haiwezekani kila kusanyiko nchi hii polisi wawepo, kwasababu hawatatosha, sema nyie mnawalazimisha polisi kufuatilia makusanyiko ya Chadema kwa maslahi yenu.
 
Don't pretend yourself to be foolish, ignorant and stupid...

Tunakusanyika kila siku masokoni, kama Kariakoo, mitumbani nk

Nani hutoa taarifa kwa Polisi katika mikusanyiko hiyo?

Protection of citizens and their property is everyday sole responsibility of TanPol...

Watapewa taarifa na raia pale tu ambapo kuna hali ya hatari au tukio linalohatarisha usalama wa mtu au Mali ya mtu/watu wengine. Na wakifika, wanachopaswa kufanya ni kitu kimoja tu: To maintain peace & security so as to enable citizens participate in their daily activities safely. It's not their duty kuzuia shughuli za kila siku za watu kuendelea kufanyika mahali popote unless there's really security threat....

Na Ili usimamishe shughuli za watu kuendelea na kuwaambia wake ndani, si Polisi wanaopaswa kusema hivyo, bali kwa mujibu wa sheria ni Rais wa nchi pekee ndiye mwenye mamlaka hayo...

Na kama kuna mtu au watu wanasumbua wengine kufanya shughuli zao, wanachopaswa kufanya Polisi ni kum - detain mleta fujo au anayedhania kuhatarisha amani na usalama wa wengine. Nothingmore, nothing less. Mengine kama hili ni siasa za majitaka tu za CCM wakiwatumia Polisi kama ngao (shield) yao...

Sheria ya kutoa taarifa Polisi inahusu matukio maalumu pekee tu especially ya kisiasa kama maandamano, mikutano ya kisiasa nk

Hapa watu walikuwa safarini, just on the way wakahitaji kusimama kwa dakika kadhaa Ili kupumzika (labda) na ktk kupumzika kwao wakaona, wapandishe bendera ya tawi dogo la CHADEMA lililopo njiani mahali wanapopita. Tukio ambalo hardly labda lingechukua chini ya dakika 30...

Hii haikuhitaji taarifa wala nini. Kama kungekuwa na hali ya hatari, wananchi wangetoa taarifa Polisi....

And as I have said before, kama Polisi wangepata taarifa, then kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha kila mtu anafanya shughuli yake kwa amani, amalize na arudi nyumbani kwake kulala au maisha mengine yaendelee...

Whether you like it or not, Polisi ktk hili, wamekiuka sheria, wame act very unprofessional na ni ukweli kuwa wametumiwa na CCM kufanya ujinga huu dhidi ya CHADEMA...

And the reason for this is simply because CCM walishakufa siku nyingi, hawawezi kushindana na CHADEMA kwa hoja za kisiasa majukwaani badala yake they're using TanPol as their political shield to make them be seen alive at least for some few days ahead before being declared dead buried forever...

That's too pathetic...!!
 
Wacha ujanja wako, makanisani makachero wanaenda kulinda maslahi ya mama, wala sio kufuatilia kauli tata zenye kuhatarisha amani ya nchi.

Mama yenu akipingwa siku hizi ni koda la jinai, ni uhaini, hiyo ndio kazi ya polisi ambao kiuhakisia ndio hao hao wanaoitwa wasiojulikana.

Unaposema kila kusanyiko lazima liwe na kibali ni uongo, huko masokoni, vituo vya daladala na kwingineko kuna polisi?

Haiwezekani kila kusanyiko nchi hii polisi wawepo, kwasababu hawatatosha, sema nyie mnawalazimisha polisi kufuatilia makusanyiko ya Chadema kwa maslahi yenu.
Masokoni stendi na hadi kwenye vilabu vya pombe za kienyeji huwa kuna undercover karibu kote nakuhakikishia hilo, yaani ni kitu nilikuwa naona mzazi anapita enzi hizo kwenye kijiwe cha bangi jpili au kwenye mechi za mpira za ushenzini anapaki gari mbali anakuja kijana ana rasta anambrief mamabo mazito halafu anarudi baadae anakuambia huyu polisi intel ila hajawahi kukanyaga ofisini ni RCO na RPC tu ndo wanamjua , na hao ndo wanaoleta hali tuliyonayo leo
 
SAMIA ANAPASWA ANYONGWE HADHARANI MPAKA MAVI YAMTOKE!

HILO JIMAMA LIUAJI LAZIMA LITUMIKIE ADHABU YA MAUAJI YA WATANGANYIKA WENZETU!
 
Back
Top Bottom