Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

Mshaanza mambo ya uzanzibari
Utajifanya ya uzanzibar hayapo, lkn yako kwa simple reasoning...Tanganyika na Zanzibar = Tanzania. A day might come when the two will revert to separate independent states!

Simple as that.....easy busy
 
Haiwezi uliwa na Zanzibar
Sidhani km hao wazenj wana shida ya kuua Tanganyika
Hapa ni kikundi cha watu wachache tu wanayqkq kuharibu ila km Mungu aishivyo hawataweza
 
Back
Top Bottom